Renatus mkinga ndani ya malumbano ya hoja

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
mwanaharakati mkinga ndan ya itv live katika mada ya kudhibiti wahamiaji haram jamaa yuko deep kuliko maafisa uhamiaji je alishawahi kuwa afisa uhamiaji?
 
Comrade huyu bwana alishawahi kuwa afisa uhamiaji na alifukuzwa kazi akiwa nje ya ya nchi kwa safari ya kikazi kwa kuchomekewa baada ya kumnyima gabachori passport,na alipofika airpot tu akakabidhiwa barua ya kufukuzwa kazi.thanx kwa kunukumbusha juu ya kipindi hiki
 
Amepona, maana nilisijkia amelazwa muhimbili muda kidogo!
 
Comrade huyu bwana alishawahi kuwa afisa uhamiaji na
alifukuzwa kazi akiwa nje ya ya nchi kwa safari ya kikazi kwa
kuchomekewa baada ya kumnyima gabachori passport,na alipofika airpot tu
akakabidhiwa barua ya kufukuzwa kazi.thanx kwa kunukumbusha juu ya
kipindi hiki
akhsante sana gwankaja kwa taarifa nzuri much thanx!!
 
mwanaharakati mkinga ndan ya itv live katika mada ya kudhibiti wahamiaji haram jamaa yuko deep kuliko maafisa uhamiaji je alishawahi kuwa afisa uhamiaji?


Huyu Bwana anatisha na presentation approach yake utapenda kumsikiliza tu. Yaani hoja zake anaziwakilisha kwa uchungu toka moyoni
 
Vichwa kama ivi vinakosa kwenye baraza la mawazri unategemea nn?Namkumbuka Sana mda fulani tulikuwa tumegoma na tumefukuzwa chuo!Ni mtata in short.
 
Huyu jamaa huwa anajianda kabla na hii ndo inavyotakiwa sio unakurupuka tu unakaa kwenye TV ilihali huna uelkewa mpana wa mada iliyopo mezani. Big up mnyarukolo
 
Back
Top Bottom