Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Sumbawanga mjini!!

Status
Not open for further replies.
Hukumu haijaanza kusomwa, watu ni wengi eneo la mahakama kuu na mitaa inayoelekea huko. Vijana ni wengi sana. Hakuna fununu nani kashinda. Njia kuelekea mahakama kuu zimefungwa kwa magari ya raia, isipokuwa kwa maaskari. Hali ni tulivu sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom