modemu ya mtandao gani ni nzuri kwa matumizi!!

Tumia yoyote kulingana na maeneo ulipo KASORO Airtel na Tigo. Hao ni usanii, hazina spidi

Mara nyingi kasi ya uchakataji huwa inawekewa kikomo kulingana na furushi la data ulilonunuai, kadiri furushi linapokuwa dogo na kasi inapungua. Mfano modemu ya Airtel ya ZTE MF190 ina kasi kikomo ya 7.2 MB/Sek. lakini wanaweza kuipunguza kulingana na mapendeleo yao. Hebu jaribu kununua kifurushi cha mwezi cha tiGO, afu uniambie.
 
kabla hujanunua modem ndgu yangu angalia maeneo unayokaa je ni mtandao gani unakasi nzuri na hausumbui kwenye simu mpaka internet yake ndio ukanunue hiyo modem au kama unaweza nunua modem za voda hizi mpya ni rahisi sana kuzichakachua kisha tumia line yoyote..:coffee:
 
TTCL ndio the best ever sababu hao tigo zantel vodacom Airtel sasatel wanachukua internet kutoka TTCL
 
Back
Top Bottom