Gwaks makono
Senior Member
- Aug 27, 2011
- 110
- 16
mwanamke mmoja amejinyonga jiran na ofisi ya mganga wa hospitali ya wilaya ya geita baada ya mwanae kufikishwa hospitali na kushindwa kupewa huduma stahik na hvo kupelekea mwanae kufariki-source rfa matukio