ni kweli anaweza kujiua!

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel inaweza kutokea au ananitisha tu!
 
Si ujaribu uone kama inaweza kutokea au anatishia!!!!.
 
cna
xaxa
x boi
nlsafir

tatizo ni vocha? Au wino umeisha?
Utamuua nani hata kuandika haujui.
 
anakutishia tu....

kwa nini lakini mapenzi yenu mnayapeleka puta namna hio...kuwekeana roho juu na visasi?
 
naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel inaweza kutokea au ananitisha tu!
anaweza akajiua au asijiue........
 
naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel inaweza kutokea au ananitisha tu!

Uandikaji wako umeandika kichoko ...... lazima wewe utakua choko tu.
 
Yes she can....hata kama siyo leo, unajua mtu akisha liweka kinywani neno KUJIUA...inasemakana wengi huwa wanatimiza maneno hayo even though it may take sometime. Kuwa naye karibu, kama kweli unampenda UTAMLINDA, siyo kwa kutumia CONDOM, no, but through being close to her and listening to what she need...and why mnayapeleka mapenzi yenu kizamani zamani hivyo..? Inavyoonekana uhusiano wenu hauna muda mrefu that's why haujamfahamu vya kutosha. Jifunze anapenda nini na hapendi nini...kama siyo muongeaji sana, jifunze kupitia vitendo vyake, kama siyo mtendaji sana, jifunze wewe kuwa muongeaji na mtendaji, mara nyingi ndege wafanana nao huruka pamoja....atakuwa kama wewe na utapata fursa ya kujifunza mengi kutoka kwake.

Yote haya yanawezekana kama tu una nia naye ya dhati ya kutaka kuwa nae in future life, but kama ni wa ku-do...hauwezi kupoteza muda mwingi kumjenga awe vile unavyotaka.....TRY THIS....
 
akhsante sana stk one na wengineo kwa ushauri mzuri sana na ambao nahahid kuufanyia kazi haraka iwezekanavyo!ushaur kwa wengine tujitahid kuwa serious sio flan kaandika nin swala thread imeeleweka
 
naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb msamaha nikamsamehe lakn akasema nimtamkie kwamb nampenda na mim nimekataa.anatishia kujiua n kwel inaweza kutokea au ananitisha tu!

mkikua mtaacha......
 
kuna kamsemo ka kazamani kanasema "mkwara is better than action",so may be anatikisa kiberiti 2.ol in ol we ndo unamjua vizuri so nadhani wawewza jua ka yuko serious or anatishia.
 
Siku zote ukitaka kujua thamani ya shilingi jaribu kuitumbukiza chooni. Ukitaka kujua kama anaweza kujiua au la, jaribu kumtosa.
 
Nikuulize swali ambalo yeye mwenyewe kakuliza.
Je unampenda?

Pia, suppose ni yeye kasafiri bila kukuaga, ingekuwa poa?

Najua ulimjibu kuwa umepata GF mwingine, ni kweli? Kama sio what were you trying to prove to her?

Ushauri wangu, muache tu huyo binti, hatajiua she will live na atakuwa strong; wewe hustahili binti mwenye mapenzi deep kama ya huyo binti!
 
Nikuulize
swali ambalo yeye mwenyewe kakuliza.
Je unampenda?
Pia, suppose ni yeye kasafiri bila kukuaga, ingekuwa poa?
Najua ulimjibu kuwa umepata GF mwingine, ni kweli? Kama sio what were
you trying to prove to her?
Ushauri wangu, muache tu huyo binti, hatajiua she will live na atakuwa
strong; wewe hustahili binti mwenye mapenzi deep kama ya huyo
binti!
dah kaunga umeniweka njia panda nitafanyia kazi Questionaire zako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom