Search results

  1. Tomaa Mireni

    SoC04 Kama Serikali ikishirikiana na wawekezaji kuwekeza kwenye public Wi-Fi, Tanzania tuitakayo itakuja haraka sana

    Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani. Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
  2. Tomaa Mireni

    Kilichotokea Kateshi, Hanang kitatokea tena Same na vitongoji vyake mara nyingine. Msije kushangaa

    Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi. Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
  3. Tomaa Mireni

    Wazee wa delivery kuweni makini na utapeli huu unatrend sana

    Kwa wale wenye biashara ya kupelekea mteja alipo hata kama ni kwa garama zake kuwa makini. iKO HIVI. Anakuja mteja siku ya kwanza mnafanya biashara vizuri kwa 100% hapo kwa mfanyabiashara lazima atengeneze imani na mteja wake ambeye anamzoom na kumset akae kwenye line. Mnabadilishana...
  4. Tomaa Mireni

    TTCL fiber ingebinafsishwa ingeipiku ZUKU fiber kwa wateja

    Kama ilivyo kwa taasisi za serikali kwa uzembe TTCL nao wamo. Nilienda 7SABA maonyesho nikakutana na maafisa nikakaribishwa vizuri na kutanfaziwa faiba mlangoni, nikaipenda. Nikaulizia taratibu nikaambiwa unajaza fomu anakuja savea na kuangalia eneo kisha unaletewa huduma. Nikauliza inaweza...
  5. Tomaa Mireni

    Hisense 32nchi smartTV 350k tu

    Hii tv ina miezi michache sana na ili kuamini unapewa na box lake na mazaga zaga yote. Kwanini inauzwa mapema sana? Kuna mgonjwa yupo hospitali inahitajika hela ya haraka. Bei ya dukani ni 500k Haina kasoro kama unahitaji nipigie 0625547181
  6. Tomaa Mireni

    Nilivyokula kuber mara ya kwanza

    Ilikuwa mwaka 2004 nikiwa darasa la 6. Alikuja ndugu yangu toka mjini na kuja na kuber. Ilikuwa jioni flan kijijini wakatii huo kumetulia watu tunasubiri ugali wa usiku, kipindi hicho hakuna milo miwili wala mitatu, asubuhi uji,mchana matunda shambani usiku ndio chakula. Nimekaa njaa...
  7. Tomaa Mireni

    SoC03 Umuhimu wa serikali kuwa utambulisho wa fingerprint ulio bora zaidi

    Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
  8. Tomaa Mireni

    90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

    Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
  9. Tomaa Mireni

    Phone4Sale Nokia C31 inauzwa, box na kava unapewa

    Imepungua bei Nokia C31 Bei 270,000 64GB ndani 4GB ram 4G line zote Box na kava free Piga 0625547181
  10. Tomaa Mireni

    Phone4Sale Redmi 10C ina mwezi tu ipo sokoni bei ya Januari

    Hii nakupa na box lake haina tatizo hata kidogo waranti imebaki miezi 10 Sifa zake hizi Piga simu 0625547181
  11. Tomaa Mireni

    Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo. Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona...
  12. Tomaa Mireni

    Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  13. Tomaa Mireni

    SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  14. Tomaa Mireni

    Kwa sasa MIMBA ni hatari kuliko DHAMBI

    Ulimwengu wetu uko kasi sana, ukiangalia tulikotoka na tunakoelekea utashuhudia mwenyewe. Kwa sasa kuna matangazo mengi sana ya jinsi ya kutumia uzazi wa mpango na matangazo elimu kwa vijana juu ya njia za kujikinga na kupata mimba. Kwanini elimu hii isitolewe kwa wanandoa? Unamfundisha mtoto...
  15. Tomaa Mireni

    Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

    Interlock blocks au bricks ni aina ya tofali zinazofungamana kwenye ujenzi bila kutumia zege(motor) kuziunganisha,zinapigwa kwa saruji na udongo wenye mfinyazi kiasi. Tofali hizi zinatumia saruji kidogo sana(10%) tu ya udongo. Hizi tofali zipo miundo mingi sana lakini nitazungumzia aina ya...
  16. Tomaa Mireni

    Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe? Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara? https://news.un.org/sw/story/2020/01/1079881
  17. Tomaa Mireni

    Dokezo: Mungu hajihusishi na mambo yasiyo kuwa na maslahi kwake. Tambueni hilo

    Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kumuingiza Mungu katika vitu ambavyo havina faida kwake. Unakuta timu ya mpira inacheza labda Tanzania na Kenya, kila upande wa mashabiki wanaomba Mungu washinde sa Mungu atashabikia timu gani? Ikishinda Kenya tutasema Mungu ni mbaguzi?. Ukraine vs Russia...
  18. Tomaa Mireni

    Uzalendo una tofauti gani na ubinafsi?

    Uzalendo ni nini? Ubinafsi ni nini? Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake? #Maelezo ya screenshot ni wikipedia
  19. Tomaa Mireni

    INAUZWA Technics SA-DV280 Music system inauzwa

    Bei ni 190000 0625547181 haina kasoro
  20. Tomaa Mireni

    Kinachoiponza Tanzania kwenye michezo ni "DUA TU"

    Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi. Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu Mungu atasaidia timu gani? Au huyu Mungu yeye ni timu gani? Wazungu wangekuwa na akili kama hizi...
Back
Top Bottom