Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,358
- 2,312
Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi.
Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu Mungu atasaidia timu gani? Au huyu Mungu yeye ni timu gani? Wazungu wangekuwa na akili kama hizi wangefika hapo walipo kweli?.
Mungu hawezi kusaidia watu wazembe hata siku moja,ww acha kutumia bidii na maarifa utegemee dua uone kama itakusaidia.
Beki wa Simba J. Onyango hutomsikia akitaja taja jina la Mungu kwa mambo ya hovyo.
Mungu ana vipaumbele vyake na sio mambo ya michezo michezo.