INAUZWA Technics SA-DV280 Music system inauzwa

Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari!
Mimi nina aiwa mpaka leo, kutokana mziki wake nimeshindwa kuiuza, niamua kununua mp3 nikaunga hapo kwa hiyo inapiga flash bluetooth n.k inagonga balaa
 
Mimi nina aiwa mpaka leo, kutokana mziki wake nimeshindwa kuiuza, niamua kununua mp3 nikaunga hapo kwa hiyo inapiga flash bluetooth n.k inagonga balaa
Hiyo ndio miziki original sasa achana hizi takataka za kichina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom