Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,330
- 2,283
Kwa wale wenye biashara ya kupelekea mteja alipo hata kama ni kwa garama zake kuwa makini.
iKO HIVI.
Anakuja mteja siku ya kwanza mnafanya biashara vizuri kwa 100% hapo kwa mfanyabiashara lazima atengeneze imani na mteja wake ambeye anamzoom na kumset akae kwenye line.
Mnabadilishana mawasiliano yenu kwa miadi ukipata mzigo mwingine/mzuri nicheki tufanye biashara. Hapo lazma uingie choo tu step inayofuata. Mfano biashara ya mchele, simu, mayai n.k
Tutumie mfano wa biashara ya mchele
Siku unapata mali anayotaka mteja unamcheki anakubali kuichukua akijua ww huwez kufunga biashara kwa sababu yake mwenyewe, anakupanga sasa... "mpe boda/ toyo unaemwanini aniletee arudi na pesa yako" sawa boss
Unampakia mzigo unampa mawasiliano dereva anaenda anakutana na tajiri njiani akisubiri anapakia wanaondoka wote. Dereva mgeni eneo hilo tajiri anaagiza shusha gunia 5 hapa ni stoo yangu hizi nyingine tupeleke dukani.
Zinashuka na toyo inasonga mbele kukunja kona tajiri anaomba kushuka ili atoe hela kwenye kibanda cha wakala. Anazuga kidogo kukupoteza. Kibanda kipo karibu na uchochoro anazama hapa na kutokomea. Kushuka tajiri humuoni simu haipatikani tena.
Kurudi kule ulikoshusha gunia 5 akasema stoo hayupo na gunia hazipo... Unaachwa mjini tayari, dereva na boss mnaanza kutafuta mchawi.
Usifanye biashara kimazoea wala kuamini amini watu, dunia imebadilika sio kama zamani.
USHAURI WANGU KWA WAFANYABIASHARA WA DELIVERY
Kama umepata mteja wa kupelekewa bidhaa...
Hakikisha mnakutana eneo la wazi
Hakikisha amekulipa ndio umkabidhi mzigo
Usiruhusu akupe point 2 wakati makubaliano ni point moja tu
Usimpe mteja gape baada ya kumpatia bidhaa atakutoroka