ttcl

  1. M

    Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  2. kyagata

    TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  3. Suley2019

    CAG: TTCL yapata hasara ya shilingi Milioni 894. Yarejesha ruzuku kama mapato

    Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini. Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika...
  4. JuniorDarilson_

    Nichague ipi kati ya Fiber TTTCL vs GoFiber?

    Ndugu zangu naomba mnipe ushauri kati ya Gofiber na TFiber (ttcl) ipi imetulia sana kwa maswala ya kucheza games online coz nataka nianzishe streaming. Ipi uhakika ndugu zangu?
  5. mangiTz

    TTCL ni mtandao unaotumiwa zaidi na matapeli

    Habari wana JF, TTCL kampuni ambayo ipo chini ya usimamizi wa serikali una changamoto ya kutumiwa zaidi na matapeli wanaojaribu kutapeli watu kupitia call/sms. Kampuni kama hii ambayo ipo chini ya serikali tungetarajia kubwa ingefanya vizuri zaidi kwasababu chombo kinachosimamia pia (TCRA) ni...
  6. James Hadley Chase

    TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma

    Dar es Salaam. Takwimu mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), zimeutaja mtandao wa simu wa TTCL katika nafasi ya mwisho kwenye kipengele cha ubora wa huduma, huku mtandao wa Tigo ukiongoza. Katika ripoti ya robo ya nne ya mwaka 2023 iliyotolewa mwanzoni mwa wiki, kampuni ya TTCL...
  7. S

    Siyo TANESCO tu hata TTCL ni Kichefuchefu kingine

    TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita. Hii nguzo imeangukia kwenye...
  8. G

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Habari Wana jamii,,nimeamua kuanzisha hii thread Ili kuelezea experience yangu na TTCL Fiber Ili iwe faida Kwa wengine wanaotaka kufahamu .. Nitaelezea ufanisi wake kulingana na matumizi ya mtu husika..Miezi SITA iliyopita niliunga kifurushi Cha 55k ambacho ni 20MBPS. Hakuna installation fee...
  9. Ricky Blair

    Kupigiwa simu kila mara kukumbushwa kulipia TTCL Fiber hata baada ya kuwaambia huhitaji kwa sasa ni kero

    Jamani sisi office huwa tunalipia TTCL Fiber internet kwa mwezi ile unlimited 55k and speed ipo vzuri ingawa kuna muda network inazinguaga. Basi sasa, mwezi huu hatujalipia tumeamua kukausha, izo simu sasa kila siku kutukumbusha? Why? Jamani, hii ni kodi?Mnatudai? Sisi hatujui kwamba Internet...
  10. D2050

    Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

    Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA. Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela. Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
  11. analysti

    TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Habari ya leo wadau. Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na...
  12. Tomaa Mireni

    TTCL fiber ingebinafsishwa ingeipiku ZUKU fiber kwa wateja

    Kama ilivyo kwa taasisi za serikali kwa uzembe TTCL nao wamo. Nilienda 7SABA maonyesho nikakutana na maafisa nikakaribishwa vizuri na kutanfaziwa faiba mlangoni, nikaipenda. Nikaulizia taratibu nikaambiwa unajaza fomu anakuja savea na kuangalia eneo kisha unaletewa huduma. Nikauliza inaweza...
  13. hp4510

    Nahitaji modem ya TTCL Dodoma

    Wakuu nahitaji modem ya TTCL Kwa mtu yoyote ambae anauza na Yuko Dodoma please nidm Nataka Ile ambayo ina WiFi na mtu zaidi ya mmoja anaweza kukonect
  14. K

    TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

    Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii...
  15. Erythrocyte

    Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake. Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara. Bali kikubwa ni biashara...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  17. Mama Amon

    Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

    1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL. 2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of...
  18. U

    Rais Samia Kagusa TANESCO, TTCL, REA, POSTA. Mbona EWURA hajagusa?

    Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili. Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza...
  19. nyboma

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
Back
Top Bottom