System ilikuwa wapi alipokuwa akichaguliwa kuwa Rais? Tatizo ni wabongo kufikiri tuko kama nyie. Kuna kinyozi wangu wa kutoka bongo alishinda akiniambia jinsi Raila lazima awe Rais eti "Usicheze na serikali."
Yeye amekuwa Makamu wa Rais miaka kumi. Hakuna asichokijua kuhusu hiyo "System."...
Hiyo ni Filosofia yake na tulimchagua kwasababu ya filosofia yake. Wengi wape. Wewe na usomi wako wa pesa nane ngoja umchague kiongozi wako wa usomi wa pesa nane. Si demokrasia hiyo?
Choir ilkuwa ya kutumbuiza watu. Ikiwa ujumbe wa choir haukukufurahisha, sio lazima ukufurahishe. Hata Diamond angekuja, bado kuna watu hawangefurahishwa na huo ujumbe. Hata maroon comandos wangeimba Charonyi Ni Wasi, kuna wale ambao bado wangekwazika kwa kuwa wimbo huo ni wa "kikabila." huwezi...
Nchi kuegemea kwa dini moja ndio kusema nini? Rais Ruto ana Uhuru wa kuabudu na kushuhudia imani yake. Hakuna mwislamu aliyekatazwa kuabudu jinsi anavyopenda. Hakuna anayelazimishwa kujificha kula wakati wakristo wanfunga. Hakuna anayechomwa na moto kwasababu ya imani yake, tatizo liko wapi?
Ungekuwa Kenya ungeelewa kwanini walimtaja Mungu Kila wakati na kwanini Naibu wa Rais alikuwa na machungu. Uhuru Kenyatta alifanya mambo ya Kishetani sana hata kuingilia IEBC na Karibu kuleta umwagaji damu. Naibu Wa Rais amekuwa mpole sana. Uhuru ni mtu ovyo sana. Angefaa achapwe mijeledi kwa...
Naamini wengi hapa hawajamuelewa muthama (SI RUTO HUYO). Kenya, vyama huwa vya uchaguzi tu. Yaani baada ya Uchaguzi, hakuna anayejali kuhusu Chama. CCM, pamoja na mapungufu yake, ni chama ambacho kiko na Structures, kama vile KANU kilikuwa. Hii sikusema eti atatawala nchi vile CCM inatawala...
Kikatiba, Kenya inatambua askari wa Nation Police Service (NPS). Sasa NPS imegawanywa mara mbili:
1. Kenya Police Service. Hawa ndi wale huva sare aza blue
Chini ya KPS, pia Kuna GSU na DCI. GSU ni wa wakati wa fujo na pia hawa ndio hutoa ulinzi Kwa Rais na Makamu wake. DCI Mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.