Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.

Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake.

Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.

95% na bado Wakapigwa KO na Hustler .Wacha story za Nyeri kijana
 
Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.

Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake.

Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.

System ilikuwa wapi alipokuwa akichaguliwa kuwa Rais? Tatizo ni wabongo kufikiri tuko kama nyie. Kuna kinyozi wangu wa kutoka bongo alishinda akiniambia jinsi Raila lazima awe Rais eti "Usicheze na serikali."

Yeye amekuwa Makamu wa Rais miaka kumi. Hakuna asichokijua kuhusu hiyo "System." Aliyoyafanya jana ni mambo ambayo tayari alikuwa ameshaahidi wananchi tangia miaka mbili iliyopita
 
Ruto na kenyata wamewachezea pata potea
 
System ilikuwa wapi alipokuwa akichaguliwa kuwa Rais? Tatizo ni wabongo kufikiri tuko kama nyie. Kuna kinyozi wangu wa kutoka bongo alishinda akiniambia jinsi Raila lazima awe Rais eti "Usicheze na serikali."

Yeye amekuwa Makamu wa Rais miaka kumi. Hakuna asichokijua kuhusu hiyo "System." Aliyoyafanya jana ni mambo ambayo tayari alikuwa ameshaahidi wananchi tangia miaka mbili iliyopita

Hajui kuwa Ruto ana watu ktk system. Yule hustler kwelikweli
 
Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.

Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake.

Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
Very blessed and talented fella!, Hapa kuna kitu hujakimanya.

Uhuru na Ruto hawakuwahi kugombana, ilikuwa ni gemu plan ya kumuweka Ruto madarakani. Kwa hiyo the self proclaimed Hustler, hana bifu na mtu wala hana wa kumfanyia kisasi.
 
Back
Top Bottom