Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?
Achana na mambo yao tuendelee na yetu maana hata tozo zimetushinda..
 
mimi nina wasiwasi sana na jinsi Ruto na timu yake wanavyomtaja-taja MUNGU kila wakati.

Hizi dini za kuja zimeteka waafrika na kutumia muda mwingi kusali na kuwahadaa waafrika.

Dini zetu za asili hazina muda wa kupoteza huwa tunasali tukisha vuna mazao shambani kumshukuru Mulungu hivyo hatupotezi muda kama mungu huyu wa kigeni kutudai kila wiki au muda wa swala tumkabili huyu mungu mmoja asiyeonekana na anayedai yupo kila sehemu.

Mulungu wetu na Mizuka yake wao wanajua tupo busy hivyo anasubiri wakati wa mavuno, msimu wa kuomba mvua, kutaka kuongeza mtoto ktk familia yaani hana mambo mengi Mulungu wetu.
 
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.

Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Mkuu napo kwa marehemu Mzee Kenyata ni nchi ya Kikristo, nyie wavaa Kobazi kazi yenu ni kupiga makofi tu.
 
Hakuwa anafanya hayo Kwa bahati mbaya,alikuwa anajenga base za kisiasa kwa ajili ya kugombea na imemlipa..

Haitakiwi kuwa at individual level,tunataka kuona Nchi haiegemei kwenye dini moja.

Nchi kuegemea kwa dini moja ndio kusema nini? Rais Ruto ana Uhuru wa kuabudu na kushuhudia imani yake. Hakuna mwislamu aliyekatazwa kuabudu jinsi anavyopenda. Hakuna anayelazimishwa kujificha kula wakati wakristo wanfunga. Hakuna anayechomwa na moto kwasababu ya imani yake, tatizo liko wapi?
 
Anashuhudia Imani yake kwa kualika kwaya nk kwenye public affair? Kwani yeye anaongoza waumini wa dini ya Kristo au Wakenya?
 
Anashuhudia Imani yake kwa kualika kwaya nk kwenye public affair? Kwani yeye anaongoza waumini wa dini ya Kristo au Wakenya?
Choir ilkuwa ya kutumbuiza watu. Ikiwa ujumbe wa choir haukukufurahisha, sio lazima ukufurahishe. Hata Diamond angekuja, bado kuna watu hawangefurahishwa na huo ujumbe. Hata maroon comandos wangeimba Charonyi Ni Wasi, kuna wale ambao bado wangekwazika kwa kuwa wimbo huo ni wa "kikabila." huwezi kumfurahisha kila mtu
 
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?
Viongozi wa Kenya especially Ruto ni mpumbavu sana

Jamaa anafanya ujinga akidhani ni sifa

Ruto ana tabia mbovu sana ya Christianity Nationalism which actually is not Christianity

Ni low IQ people using Christianity to propagate their hate and xenophobia...

Tabia ya hovyo sana kuleta your personal religious beliefs onto the citizens kwa lazima,keep your personal religious beliefs to yourself....

Ruto ni tatizo.....

Huyu mtu watu nadhani bado hawajamstukia vizuri....the guy is a demagogue!
 
Hii in tofauti na Zanzibar?

Waislamu Kenya ni minority Kama 15%,hilo la kugawanya nchi haliwezi kutokea mkuu
Kua 15% ndio tiketi ya kua marginalized?

Hivi unawezaje kuongoza nchi kwa kutumia dini kwakweli?

Yaani badala ulete rational reasoning na scientific principles kung'amua mambo na kutatufa practical solutions,unfortunately unatuletea hadithi za jesus christ talking hot airs and blah blah?

Then why choosing you to lead us?Kwanini tusiende directly kwa huyo jesus christ who infact is not real and is not around,and infact no one has ever met?

Hii christian nationalism is for fools trying to use their lack of brain and justify their hate and xhenophobia to others using christianity as a shield

What a loss
 
Kenya ni wahanga wa ugaidi. Wanajua maumivu ya ugaidi, hivyo lazima wapinge ugaidi kwa vitendo
 
Kua 15% ndio tiketi ya kua marginalized?

Hivi unawezaje kuongoza nchi kwa kutumia dini kwakweli?

Yaani badala ulete rational reasoning na scientific principles kung'amua mambo na kutatufa practical solutions,unfortunately unatuletea hadithi za jesus christ talking hot airs and blah blah?

Then why choosing you to lead us?Kwanini tusiende directly kwa huyo jesus christ who infact is not real and is not around,and infact no one has ever met?

Hii christian nationalism is for fools trying to use their lack of brain and justify their hate and xhenophobia to others using christianity as a shield

What a loss
Scientific reasoning ni ya wewe na watu wenyu.
 
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.

Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Ndiye rais aliyepata kura nyingi Kanda ya pwani kuliko rais yeyote yule.usijidanganye
 
Back
Top Bottom