Search results

  1. M

    Ruto: Tutatoa bajeti kubwa kwa Mahakama ili isimamie Demokrasia, Uhuru na Haki

    Kuna vitu vingine vinafanywa na executive orders na si lazima tena urudi bungeni.
  2. M

    Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

    System ilikuwa wapi alipokuwa akichaguliwa kuwa Rais? Tatizo ni wabongo kufikiri tuko kama nyie. Kuna kinyozi wangu wa kutoka bongo alishinda akiniambia jinsi Raila lazima awe Rais eti "Usicheze na serikali." Yeye amekuwa Makamu wa Rais miaka kumi. Hakuna asichokijua kuhusu hiyo "System."...
  3. M

    Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Hiyo ni Filosofia yake na tulimchagua kwasababu ya filosofia yake. Wengi wape. Wewe na usomi wako wa pesa nane ngoja umchague kiongozi wako wa usomi wa pesa nane. Si demokrasia hiyo?
  4. M

    Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Scientific reasoning ni ya wewe na watu wenyu.
  5. M

    Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Choir ilkuwa ya kutumbuiza watu. Ikiwa ujumbe wa choir haukukufurahisha, sio lazima ukufurahishe. Hata Diamond angekuja, bado kuna watu hawangefurahishwa na huo ujumbe. Hata maroon comandos wangeimba Charonyi Ni Wasi, kuna wale ambao bado wangekwazika kwa kuwa wimbo huo ni wa "kikabila." huwezi...
  6. M

    Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Nchi kuegemea kwa dini moja ndio kusema nini? Rais Ruto ana Uhuru wa kuabudu na kushuhudia imani yake. Hakuna mwislamu aliyekatazwa kuabudu jinsi anavyopenda. Hakuna anayelazimishwa kujificha kula wakati wakristo wanfunga. Hakuna anayechomwa na moto kwasababu ya imani yake, tatizo liko wapi?
  7. M

    Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Kwasababu Katiba imeandikwa kwa Kiingereza na Kiapo chenyewe kiko kwenye katiba. Ningekuwa Rais, hili ni jambo la kwanza ambalo ningebadilisha
  8. M

    Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Ungekuwa Kenya ungeelewa kwanini walimtaja Mungu Kila wakati na kwanini Naibu wa Rais alikuwa na machungu. Uhuru Kenyatta alifanya mambo ya Kishetani sana hata kuingilia IEBC na Karibu kuleta umwagaji damu. Naibu Wa Rais amekuwa mpole sana. Uhuru ni mtu ovyo sana. Angefaa achapwe mijeledi kwa...
  9. M

    Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Kikatiba, Kiswahili ni First Official Language na tena ni National Language. Kiingereza ni Second Official Language
  10. M

    Ruto kuiga mfumo wa CCM kuongoza Kenya, kuwapa madaraka ya chama wananchi

    Naamini wengi hapa hawajamuelewa muthama (SI RUTO HUYO). Kenya, vyama huwa vya uchaguzi tu. Yaani baada ya Uchaguzi, hakuna anayejali kuhusu Chama. CCM, pamoja na mapungufu yake, ni chama ambacho kiko na Structures, kama vile KANU kilikuwa. Hii sikusema eti atatawala nchi vile CCM inatawala...
  11. M

    Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Kikatiba, Kenya inatambua askari wa Nation Police Service (NPS). Sasa NPS imegawanywa mara mbili: 1. Kenya Police Service. Hawa ndi wale huva sare aza blue Chini ya KPS, pia Kuna GSU na DCI. GSU ni wa wakati wa fujo na pia hawa ndio hutoa ulinzi Kwa Rais na Makamu wake. DCI Mara nyingi...
  12. M

    Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Hehe huyo si Chief. Huyo ni CC. County Commissioner
  13. M

    Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

    Huyo si Mutahi Nguyi bali ni Abraham Mutai
  14. M

    Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    https://drive.google.com/drive/u/0/folders/1M5BUSyAjmdSQLAHaFqvZzvcpFFg6WDG1 bila tume huru, raila angekuwa rais
  15. M

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Huyo mke amekudharau sana. Yani jina anang'ang'ania pia? Anampenda sana huyo mtu. Wewe ni toy tu kwake
  16. M

    Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  17. M

    Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

    Yaani kuna wanaume wapumbavu sana. Wao hukuwa weak na ni wale wa kumuua mwanamke kwasababu amemkataa. Wana roho za kichawi na mawazo za kishetani. Kisha wanasema "Mungu si Athmani" bila haya. Pepo mbaya ashindwe!!
  18. M

    Wanafunzi wajifungua saa chache kabLa ya mtihani wa darasa la 8 kuanza

    Tatizo ni Kufanya ngono au Kupata mimba? Kwani ukiwafukuza wenye mimba utabaki na mabikra shuleni?
Back
Top Bottom