Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,346
- 5,949
Tzn ni mfano wa kuigwa kwa amani na uvumilivu na mshikamano wa kidini hapa Africa..
Watanzania wengi wao ni wakarimu, wachache tu wanaharibu
Tzn ni mfano wa kuigwa kwa amani na uvumilivu na mshikamano wa kidini hapa Africa..
Unaongelea raisi? Hata mtendaji wa kijiji anaweza? Balozi wa nyumba kumi anaweza kuwa mkristo zanzibar?Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.
Kwenye katiba ya kenya, wamekataza waislam?Zanzibar ni sawa ni kwa sababu asilimia zaidi ya 90 ni waislamu, kenya je!!
Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.
Unaongelea raisi? Hata mtendaji wa kijiji anaweza? Balozi wa nyumba kumi anaweza kuwa mkristo zanzibar?
Kiukweli nimependa nilichokiona Kenya leo, ingekuwa huku ingekuwa full kukata mauno na kubambiana majukwaani.Umezoea nchi inayotukuza ushetani?
Kina Zuchu wakiimba majukwaa yenu...inama...panua...ingiza?
Okay..Kumbe zanzibar ni Nchi..Tena Nchi ya Kidini.Zanzibar ni nchi ya kiislamu, wakazi wake zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, so viongozi wao wanapaswa wawe waislamu na sio wakristo n.k.
Katu muislami awezi tawal Kenya Hilo liko huku tuNi ngumu muislam kuja kupata urais. Maana atapata kura za Pwani peke yake. Za Mombasa,Malindi na Lamu.
Kenya waislam ni % ngapi?Zanzibar ni kisiwa, na isitoshe waislamu waliopo zanzibar ni wengi sana, zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, so kumuweka mkristo pale haimake sense, Huko kenya waislamu kibao tu, kwanzia Mombasa, lamu, malindi waislamu ni wengi sana.
Kwani Zanzibar kushawahi kuwa na rais mkristo?
Kenya waislam ni % ngapi?
Na ni % ngapi ya watu ikifika ndio limit ya kuingizia kigezo cha dini kwenye utawala?
Naomba sasa statistic ya ukweli.Zanzibar ni 99 percent muslim..
Kenya 85.5 Christians, japo hakuna ukweli wowote wa hii statistic
Katu muislami awezi tawal Kenya Hilo liko huku tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yes: sio leo tu hata muda wa matokeo waliwaalika akina Mt. Kizito...wazee wa mimina Yesu mimina.Kiukweli nimependa nilichokiona Kenya leo, ingekuwa huku ingekuwa full kukata mauno na kubambiana majukwaani.
We jamaa ni mbili kasoro kichwani hamna kitu kabisa elimu yako niya madrasaZanzibar ni 99 percent muslim..
Kenya 85.5 Christians, japo hakuna ukweli wowote wa hii statistic
mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.
Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
..mimi nina wasiwasi sana na jinsi Ruto na timu yake wanavyomtaja-taja MUNGU kila wakati.
..Ningependa zaidi waitaje KATIBA ya Kenya ndio muongozo wao.
NB:
..Pia hotuba ya Makamu wa Rais nimeiona kama haikuwa sahihi ktk hafla ya kumuapisha Raisi mpya.
Cc MK254
Hii dini bwana🤣🤣🤣Acha kufananisha zanzibar na kenya, zanzibar takribani wote, kama sio wote basi zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, sasa inaingia akilini zanzibar itawaliwe na mkristo, mpagani au budha n.k!!!!
Only for Kikuyu and kalenjiniAnyone can become president of republic of kenya