Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

P Didy Wa Tanzania

JF-Expert Member
May 6, 2022
2,376
3,891
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.

Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza

Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William Ruto wanatumia sana Kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya Kiswahili.

Sasa nataka kujua hivi kwanini Wakenya wanatumia sana Kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama Kiingereza?
 
Mda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa kenya Mh. Dk . William Ruto .

lakini pia kabla ya leo nimefatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya kiswahhili kuliko kiingereza

lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh William Ruto wanatumia sana kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya kiswahili.

Sasa nataka kujua hivi kwanini wakenya wanatumia sana kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama kiingereza ?
Kikatiba, Kiswahili ni First Official Language na tena ni National Language.

Kiingereza ni Second Official Language
 
Najivunia na lugha yangu ya kiswahili, na lugha inayofuata japo siijui vizuri ni "KIARABU" Lugha ambayo nimetokea kuipenda sana sana, sio mimi tu, wengi pia hutamani kujifunza "KIARABU

1 ARABIC
2 SWAHILI

Mleta mada, waabheja sana..
 
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.

Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza

Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William Ruto wanatumia sana Kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya Kiswahili.

Sasa nataka kujua hivi kwanini Wakenya wanatumia sana Kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama Kiingereza?
Screenshot_2022-09-13-17-14-25-761_com.opera.mini.native.jpg
 
Kama Kiswahili ndio lugha no. 1 Kenya, mbona Ruto na Naibu wake wameapa kwa Kiingereza ?
Kwasababu Katiba imeandikwa kwa Kiingereza na Kiapo chenyewe kiko kwenye katiba. Ningekuwa Rais, hili ni jambo la kwanza ambalo ningebadilisha
 
Maana wapo Marais na wageni mashuhuri kutoka maeneo tofauti ambao hawaelewi kiswahili so vyema utumie lugha ambayo hawaelewi ilihali kiswahili kinatumika na wote kutoka humu nchini na Tanzania,
 
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.

Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza

Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William Ruto wanatumia sana Kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya Kiswahili.

Sasa nataka kujua hivi kwanini Wakenya wanatumia sana Kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama Kiingereza?
Lugha ya Taifa ya Kenya ni Kiswahili. Kiingereza ni Lugha rasmi/ ya kikazi.
Wakenya hawaongei kiingereza Kwa Maisha Yao ya kawaida mashinani. Kiswahili ndio Lugha ya Taifa Kenya
 
Back
Top Bottom