Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.

Zanzibar ni kisiwa, na isitoshe waislamu waliopo zanzibar ni wengi sana, zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, so kumuweka mkristo pale haimake sense, Huko kenya waislamu kibao tu, kwanzia Mombasa, lamu, malindi waislamu ni wengi sana.
 
Umezoea nchi inayotukuza ushetani?
Kina Zuchu wakiimba majukwaa yenu...inama...panua...ingiza?
Kiukweli nimependa nilichokiona Kenya leo, ingekuwa huku ingekuwa full kukata mauno na kubambiana majukwaani.
 
Zanzibar ni kisiwa, na isitoshe waislamu waliopo zanzibar ni wengi sana, zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, so kumuweka mkristo pale haimake sense, Huko kenya waislamu kibao tu, kwanzia Mombasa, lamu, malindi waislamu ni wengi sana.
Kenya waislam ni % ngapi?
Na ni % ngapi ya watu ikifika ndio limit ya kuingizia kigezo cha dini kwenye utawala?
 
Kwani Zanzibar kushawahi kuwa na rais mkristo?

Acha kufananisha zanzibar na kenya, zanzibar takribani wote, kama sio wote basi zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, sasa inaingia akilini zanzibar itawaliwe na mkristo, mpagani au budha n.k!!!!
 
Zanzibar ni 99 percent muslim..

Kenya 85.5 Christians, japo hakuna ukweli wowote wa hii statistic
Naomba sasa statistic ya ukweli.
Na swali lingine hukunijibu... ni % gani ya raia wa dini fulani kwenye nchi ambayo wewe unaona kuwa raia wakifikia hiyo ni lazima Viongozi wote watoke kwa dini hiyo tu.
 
mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu

Huu kwetu Tanzania sisi tusioamini ktk dini na miungu ya kuja kwa majahazi na manowari pia tumetengwa, utakuta ktk shughuli za chama na serikali ni dini hizo mbili za kigeni pekee yake wanaalikwa.

Sisi waabudu Miungu yetu katika wengi wa asili yetu mfano kwa kutaja kwa uchache ya Masika Zolelanga wa kule Matombo Morogoro hatupewi nafasi kabisa

Bora serikali na chama hapa Tanzania waachane kuwaalika masheikh, maaskofu, Makuhani wa dini za kuja ili kuondokana na ubaguzi wa kiimani.
 
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.

Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.

 
..mimi nina wasiwasi sana na jinsi Ruto na timu yake wanavyomtaja-taja MUNGU kila wakati.

..Ningependa zaidi waitaje KATIBA ya Kenya ndio muongozo wao.

NB:

..Pia hotuba ya Makamu wa Rais nimeiona kama haikuwa sahihi ktk hafla ya kumuapisha Raisi mpya.

Cc MK254

Ungekuwa Kenya ungeelewa kwanini walimtaja Mungu Kila wakati na kwanini Naibu wa Rais alikuwa na machungu. Uhuru Kenyatta alifanya mambo ya Kishetani sana hata kuingilia IEBC na Karibu kuleta umwagaji damu. Naibu Wa Rais amekuwa mpole sana. Uhuru ni mtu ovyo sana. Angefaa achapwe mijeledi kwa kuaribu taasisi zetu
 
Acha kufananisha zanzibar na kenya, zanzibar takribani wote, kama sio wote basi zaidi ya asilimia 90 ni waislamu, sasa inaingia akilini zanzibar itawaliwe na mkristo, mpagani au budha n.k!!!!
Hii dini bwana🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom