P Didy Wa Tanzania
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,376
- 3,891
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.
Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza
Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William Ruto wanatumia sana Kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya Kiswahili.
Sasa nataka kujua hivi kwanini Wakenya wanatumia sana Kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama Kiingereza?