Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,904
Achana na mambo yao tuendelee na yetu maana hata tozo zimetushinda..Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?