Kikwete ashambuliwa vikali na Wakenya. Adaiwa mnafiki

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.

Screenshot_20220909-154913.png
 
Mutai ni Mkenya sio Wakenya. Mbowe huwa anawalipia ada za kusomea ujinga?
Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja!! narudia tena …(Africa ni moja!).....km hawataki kikwete aende Kenya na kutoa ushauri, nini maaana ya jumuiya!...….kama yeye mkenya aliona mapengo ya demokrasia aje huku atushauri hajazuiwa!

kupiga kelele wkt amekaa kitini Kenya ni ujinga Zaidi!...ndo waua jumuiya hao!....hii jumuiya ni yetu imetugharimu pa kubwa na mengi!! hatutaki kuona inavunjika! ajili ya wala mihogo!..kikwete ni kiongozi!
 
Back
Top Bottom