Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Google gani hiyo ya kizamani. Back to the topic Shilole ni legendary kwa Afrika level zake ni za kina Yvone Chakachaka, achana na hawa kina Jay Dee wa hapa hapa.

Duh masihara mengine bhana unaweza kudhani kweli,mara nyingine kuwa serious.
 
Mi ni die hard fan wa Shishi baby. Yaani fanbase ya Dar es salaam Tu tuko Kama milioni mbili. Haters lazima mkae
 
Mleta uzi na mifans yake tuache utani inapiga kitu ya arachuga....pumba tupu!
 
Mafans wa Shishi baby tunataka kuanzisha shindano la CHEZA KAMA SHILOLE. Kwahiyo wakina dada jiandaeni pamoja na Zawadi nyingine mshindi atapata bahati ya kukutana uso kwa uso na kupiga nae picha Shishi baby.
 
Afadhali huu uzi utakuwa hai, kuna uzi wa babu umedorora mpaka Mondi anatamba peke yake.
 
kipaji kama cha shiole ni kikubwa mno,hamna namna ya ku describe uwezo wake wa sauti na jinsi anavyofika pitch za juu kama vile Mariah Carey au whitney houston,she is amazing,a songbird,JLO alisanda kule marekani baada ya kuingia studio na kusikia vokali kali za mwanadada shishi ilibidi aombe udhuru na hakurudi tena
 
Shi shi aka mama naniiii
 
Mkuu umeeleza yote, sina la kuongeza. Kuna watu wivu ndio unawasumbua, wanakonda wakati Shishi anapiga dolari...
 
Tunawaomba mods huu uzi uwe sticky kwasababu huyu Ni msanii Ni Legend. Juhudi zake binafsi ndio zimeiweka Tanzania kwenye ramani ya muziki duniani
 
nasikia sina uhakika wanasema ...kaungwa kwenye grid ya taifa...
 
Back
Top Bottom