Bado mdogo sana. Anaonekana tu.Shilole amesema yeye si Mkubwa Kama watu wanavyosema kwa sasa Ana umri sawa na wema Miaka 27,kwani alisema aliingia Dar mwaka 2004 kipindi hiko ndio alitoka kuolewa akiwa na Miaka 16.
Umri umemtupa mkono. 27 mingi sanaShilole amesema yeye si Mkubwa Kama watu wanavyosema kwa sasa Ana umri sawa na wema Miaka 27,kwani alisema aliingia Dar mwaka 2004 kipindi hiko ndio alitoka kuolewa akiwa na Miaka 16.
Wewe hujawahi kushikwa mwili wako na mtu yoyote?
Utakuwa mtu wa ajabu sana wewe, kufungiwa hata akina Luwasa waliwahi kufungiwa na Chama Dume, seuze Shishi?
Me pia namkubali huyu bidada.