Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Wanambania tu Shishi baby. Kuna watu wanahonga hela video zake zisionyeshwe kwenye TV za nje. Lakini watasubiri sana kwa Shishi baby. Queen of bongo fleva. Soon atarudi kufuta vumbi kiti chake.
 
Wanambania tu Shishi baby. Kuna watu wanahonga hela video zake zisionyeshwe kwenye TV za nje. Lakini watasubiri sana kwa Shishi baby

😀😀😀😀😀😀 watu wahonge hela kwa ajili ya shilole???? Utakuwa umerogwa c bure
 
 watu wahonge hela kwa ajili ya shilole???? Utakuwa umerogwa c bure

Haters mpo wengi lakini mtasubiri sana mwaka huu. Shishi baby hapa kazi tu.
 
Ulieanzisha huu uzi lengo lako kupima upepo au!?
 
kuna clip moja niliiona, anacheza na mshikaji kama wanatiana.

Kucheza kwingi ni msogezo wa kiuno kutoka nyuma kwenda mbele, kama mnatiana vile. Na ndio maana kwenye matamasha ya muziki, ngomani ni rahisi sana kuokota au kuokotwa dodo. Hapo waliongeza ubunifu tu...
 
mbna mnajaza server za magufuli jamn huu uzi ufutwe mara moja atujajua magufuli keshoo ataamka na nn

Mchawi wewe kijana. Unadhani ni nani na ni nini kinastahili kutumia server za magufuli zaidi ya kingine?
 
Yani kweli mtu anaandaa uzi kwa ajili ya hyo nani sijui? ni kukosa kazi ya kufanya au mahaba?

Sio nani sijui, usijitoe fahamu. Anaitwa Shilole Kiuno, ni msanii mkubwa wa Bongo Fleva na Bongo Movie. Huwezi kujifanya unalijua Bunge lote la Seneti la Marekani halafu usimjue #ShishiBaby , huo ni wivu, ujinga na roho mbaya.

Huna haja ya kujibu!
 
Shilole ni mmoja wa wasanii ambao dish limeyumba kitambo::;
 
Alitaka kufanya collabo na JLo watu wakatumia pesa nyingi kwa ajili yake collabo lisifanikiwe.
 
JLO alimuogopa akamkimbia studio kule marekani kwa jinsi shishi alivyo na vokali murua
 
Back
Top Bottom