Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Shilole ni nguli ? Teh teh teh teh!

Anyway ni nguli wa kuliwa na kushikwa nyonyo na wazungu.....

Basata wamemfungia kwa unguli huo huo...
acha roho kutu. shishi ana ndoto na anaifanyia kazi. jukumu letu ni kumsaidia aifikie ndoto hiyo bila kuingiliwa na values and norms za kigeni . tumrekebishe kwa upendo
 
kuna siku nimemsikia anahojiwa anamtukana Roma mkatoliki, mara akasema nuh ni mdudu gani, yaani alikua studio amelewa hajielewi, alinikera sana.
 
acha roho kutu. shishi ana ndoto na anaifanyia kazi. jukumu letu ni kumsaidia aifikie ndoto hiyo bila kuingiliwa na values and norms za kigeni . tumrekebishe kwa upendo

Hebu tulia wewe isije kita ndo wale ma-dancer wake wanaolala na wazungu wa ubelgiji
 
acha roho kutu. shishi ana ndoto na anaifanyia kazi. jukumu letu ni kumsaidia aifikie ndoto hiyo bila kuingiliwa na values and norms za kigeni . tumrekebishe kwa upendo
Sisi Roho mbaya sana. Alikaa uchi Vee Money hamna tatizo, ila akae ShiShi wetu sasa...
 
Shishi Baby inawezekana hana kipaji kikubwa kwa maana ya sauti( tofauti na Linah) na uandishi (tofauti na Jide) lakini anajituma sana tofauti na wadada wengi.
 
Hahahahaha hivi Mwl Evelyn Salt umepita kwenye huu uzi wa Nguli shishi?
Kwakweli sikuwai kufikiri utakuja kuanzishwa uzi kama huu!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom