Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

kipaji kama cha shiole ni kikubwa mno,hamna namna ya ku describe uwezo wake wa sauti na jinsi anavyofika pitch za juu kama vile Mariah Carey au whitney houston,she is amazing,a songbird,JLO alisanda kule marekani baada ya kuingia studio na kusikia vokali kali za mwanadada shishi ilibidi aombe udhuru na hakurudi tena
 
Shule imemshinda.ndoa imemshinda kaamua kuvamia fani.Shilole ni janga la taifa.ukiwa fan wa shilole huna tofauti na ushuzi!
 
Shilole ni Queen wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ni King wa Bongo Fleva, sema tu wanabaniwaga tuzo ila kiukweli kabisa hakuna wanamziki wakuwafunika hawa Afrika Mashariki na kati. Mtoto watakayemzaa nadhani atamfunika hadi Michael Jackson, such a blessed family!
Una haki ya kujiita screpa!
 
Aliyekuloga keshakufa si bure..

Wanambania tu Shishi baby. Kuna watu wanahonga hela video zake zisionyeshwe kwenye TV za nje. Lakini watasubiri sana kwa Shishi baby. Queen of bongo fleva. Soon atarudi kufuta vumbi kiti chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom