Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

kipaji kama cha shiole ni kikubwa mno,hamna namna ya ku describe uwezo wake wa sauti na jinsi anavyofika pitch za juu kama vile Mariah Carey au whitney houston,she is amazing,a songbird,JLO alisanda kule marekani baada ya kuingia studio na kusikia vokali kali za mwanadada shishi ilibidi aombe udhuru na hakurudi tena
JLO hakufanya poa kukimbia studio. Ila shishy lazima apigwe fitna kutokana na uwezo wake mkubwa wa kimuziki. Huwezi taja ushindi wa Magufuli bila kumtaja shishy.
 
Shilole msanii wa kwanza wa kike kutoka Tanzania kufanya show kubwa Marekani
 
Shilole ni Queen wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ni King wa Bongo Fleva, sema tu wanabaniwaga tuzo ila kiukweli kabisa hakuna wanamziki wakuwafunika hawa Afrika Mashariki na kati. Mtoto watakayemzaa nadhani atamfunika hadi Michael Jackson, such a blessed family!
 
Mkuu rekebisha kile kidhungu ulichoandika hapo juu kinakudhalikisha sana..

You're the only one who didn't get it bro. Hiyo lugha Hainisumbui kabisa mkuu, huko ilikotoka nimeishi more than a decade kwahiyo usiogope kaka. Tuko JF hapa
 
shi.jpg
 
Nasikia Shishi baby anakwenda South kushoot video yenye ubora. Sisi die hard fans tunasubiri kwa hamu.
 
#Shishibaby atachukua tuzo zote za Afrimma, Kilimanjaro na MTV base mwaka huu wa 2016. Anaanza na video bora kuliko zote aliyorekodi South
 
You can't be serious, unajiita Rais lakini namba ya msanii muhimu Kama Shishi baby huna. Rais wetu Magufuli na anazo namba zake. We badilisha jina
 
Back
Top Bottom