BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Kaimba nyimbo gani huyo dem?
Computer yako haina Google?
Google yangu haina computer
Google gani hiyo ya kizamani. Back to the topic Shilole ni legendary kwa Afrika level zake ni za kina Yvone Chakachaka, achana na hawa kina Jay Dee wa hapa hapa.
Kaanza lini mziki au umuite Legendary? Ashatoa hits ngapi? Ngoma yke ipi ishawah kufika Channel za nje? Ashawah kufanya show gani katka nchi za Africa kuacha Tz?
Mwandiko kama wa boifurend wake (Nuh)
Shilole ni nguli ? Teh teh teh teh!
Anyway ni nguli wa kuliwa na kushikwa nyonyo na wazungu.....
Basata wamemfungia kwa unguli huo huo...