Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

"I messed up tonight, i lost another fight...
I wun't give up, no, I wun't give in till I reach the end and then I'll start again!"

Vs

"Moana, make way, make way
Moana, it's time you knew
The village of motonui is all you need"

Hizi animations zinabeba interest mbili tofauti... Ni ngumu kuzicompare. Zootopia ina potray maisha ya kawaida ila kwa kutumia wanyama na Moana ni more of mystical creatures kama yule Mother earth na Mawi.
Kwa mimi nazipenda zote ila Zootopia nimeikubali zaidi
Aiseee kwenye Moana me naipenda ila nyimbo ya How far I'll go
See the light where the sky meet the sea
It calls me
No one knows how far it goes
If the wind in my sail on the sea stays behind me
One day I'll know
If I go there's just no telling how far I'll go
Naikubali hii nyimbo.
 
Aiseee kwenye Moana me naipenda ila nyimbo ya How far I'll go
See the light where the sky meet the sea
It calls me
No one knows how far it goes
If the wind in my sail on the sea stays behind me
One day I'll know
If I go there's just no telling how far I'll go
Naikubali hii nyimbo.
Wimbo mzuri sana huo
 
CcPJsW_UYAEUCqb.jpg

zootopia habari ya mujini...Mr big alikosha sana alivyokuwa anasimuliwa nilidhani bonge la jitu kumbe kimdudu tu
Hatari sana
 
Zootopia ni nzuri vituko vingi, moana sijaiona bado mwenye link yake naomba nipate ile clear nilijaribu torrent nyingi ila zina gizagiza.
 
Zootopia ni habari nyingine tuzo alistahili hivi bongo lini na sisi tutaanza kutengeneza hizi animation.. maana nina miaka kumi bila kuangalia movie za bongo huenda wakianza Kutengenez kama hizi naweza kuangalia
 
Back
Top Bottom