magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,822
- 33,704
Mkuu Animation zipi kali unanishauri nizitafute?sijaziona ngoja nizicheki leo..
maana nahusudugi animation movie za adventure ..
Mkuu Animation zipi kali unanishauri nizitafute?sijaziona ngoja nizicheki leo..
maana nahusudugi animation movie za adventure ..
Hahah anakera hadi watazamaji huyo jamaa.Zootopia inachukua tuzo na wala siyo jambo la kuumiza kichwa sanaahii segment huwa inanifurahishaga sana nikiitizama![]()
Kama unatumia android ingia google, download app inaitwa showbox. Hapo utapata movie na series mbalimbali.Daah tuwekeeni link wadau Animation nzuri sana kwa watoto
Huyu jamaa yuko slow...Hahah anakera hadi watazamaji huyo jamaa.
moana ndio childish........Moana ni kiboko kuanzia story...mpaka animation. Zootopia is too childish.
Do you want hear a joke?Zootopia inachukua tuzo na wala siyo jambo la kuumiza kichwa sanaahii segment huwa inanifurahishaga sana nikiitizama![]()
😳 Kiswahili tafadhali,Do you want hear a joke?
Mkuu acha mzaha,zootopia goma lingine lile.Kura yangu nawapa Moana naona kabisa wanachukua tuzo