Lile nyumbu haliogagi mkuu noma sana, lina inzi kama milioni hv[emoji23] [emoji23]Some body BOGO, mkuu wa kituo.
Na lile jamaa nyumbu linafanya meditation na nzi kibao[emoji28].
Aisee hizi animation ni utoto uliobarikiwa.hata mkubwa mzima unakaa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] rango ni kiboko yaoooooooKuna Rango pia