Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

Kumbe wapenda animation tuko wengi..anyway Moana nimejaribu kudowload imenigomea wadau nipeni mbinu niipate moana
 
Kibwana mdogo hapa home kinatazama Zootopia daily mpaka kinanikera kwa hiyo huenda ni kali japo sijaingalia T&J my favourite toon of all time
 
Mie nadhani Zootopia itachukua maana ilikuwa na ujumbe mzuri sana na pia ilikuwa nzuri lakini kwenye Oscar huwa hakukosi maajabu yule umdhaniye ndiye kumbe siye.

Naona tuzo za Oscar zinatolewa kesho na hizi movie zote zinashindania tuzo ya best animated feature.. kwa naoni yako ipi kali?
movie_poster_zootopia_866a1bf2.jpeg
moana-fallback_fde4d101.jpeg
 
Moana ni ya ukweli sana ila binafsi kuna moja inaitwa Kubo and the two strings ndo niliielewa sana kwa 2016
 
Back
Top Bottom