Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

"I messed up tonight, i lost another fight...
I wun't give up, no, I wun't give in till I reach the end and then I'll start again!"

Vs

"Moana, make way, make way
Moana, it's time you knew
The village of motonui is all you need"

Hizi animations zinabeba interest mbili tofauti... Ni ngumu kuzicompare. Zootopia ina potray maisha ya kawaida ila kwa kutumia wanyama na Moana ni more of mystical creatures kama yule Mother earth na Mawi.
Kwa mimi nazipenda zote ila Zootopia nimeikubali zaidi
 
mi mwenyewe nimeikubali sanna Moana ila Zootopia imeuza karibu mara mbili ya Moana ikiuza $1 billion! na ratings ni juu zaidi. inaonekana itachukua.
Moana imekaa kidada sana! Wanaume wengi hawajaipenda.
 
Zootopia inachukua tuzo na wala siyo jambo la kuumiza kichwa sanaa
133ca2b9956f9a29de583c7902b0cebd.jpg
hii segment huwa inanifurahishaga sana nikiitizama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zootopia ni animation nzuri sana... The way walivyo wasilisha ile idea ya kuwa kuna mda itafika wanyama nao wata evolve na kuwa more sophisticated creatures na wakaitendea haki kweli hiyo Idea.

Carnivorous na Herbivores kuishi pamoja ni kitu ambacho sikuwahi kuimagine... Pia nimependa walivyo bring to life zile hadithi zetu za primary na nursery kuhusu Animal society na kila Mnyama wakampa ile special character yake ilikuwa poa sana...

Kiujumla Zootopia ni animation bora zaidi pengine ipo sambamba na 'The Lion King' katika ubora wa plot ambayo inahusisha idea ya Animal society!!!!
 
Huwa nacheka sana ile parody. eti we break bread together ,my grandma made you a canoli halafu ukaniuzia skunk's butt rug. jamaa wako serious sana na kazi zao.

Hahaaahaaa,
You come to me on the day my daughter is to be married.
I trusted you Nickie we bro some bread together, my grandma made you a canoli.
But you betrayed me and for what for a rug made from a butt of a skunk, A SKUNK BUTT RUG.
Hahahahahahahahahah.......................
 
Back
Top Bottom