Hawa huwa wanatambua na kutoa ishara kama mvua ipo au haipo,katika maisha yako jitahidi usimuue jike la ndege huyu.
However, huyo aliyeoneshwa kwenye picha hapo si kurang'a halisi.
Na mimi nakuja papa ndo vileNipo hapa uje nikutembeze, toka kwetu mpaka karemi au moba congo ni masaa ma3 tu, ukuje mukubwa
usiendeNa mimi nakuja papa ndo vile
Kcha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
Anaitwa bateleur kwa kiinglishni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
Uncle wewe ni shida tupu![emoji23] [emoji23] [emoji12] View attachment 320558huyo hapo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asante sana!
Hahahaha, kalemi,moba,manono ,pweto , Tanganyika ProvinceWe ,muha acha sifa,maana waha wanajifanya wakongomaniii
KAREMI ndio mji gani huo.
Tuulize sie wamanyema wa Asili,inaitwa Kalemi au unaiswagisha kifaransia KALEMIE
SIO KAREMI,alaaaa
Halafu sio mukulu papaa,ni papaa Mukulu
Hahahaha, Tanzania kuna Wilaya I aitwa Tanganyika ,na Congo kuna jimbo linaitwa TanganyikaKUHUSU KUANZISHWA KWA WILAYA YA TANGANYIKA
Mhe. Waziri tunakupongeza kwa kusaidia kuanzishwa kwa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, imekuwa msaada mkubwa sana hasa kwa sisi wakazi wa Karema,Kabungu na Mishamo ambapo umbali wa kupata huduma umepungua kutoka kilometa 160 kutafuta huduma wilayani.
Pamoja na tamko lako kwa vyombo vya habari,Mhe. tusaidie ofisi ya wilaya ya Tanganyika ianze,tuletewe watumishi na mkoa ili huduma zetu ziishie pale na anapobidi Mkuu wa Wilaya yule wa Mpanda atakuwa anatusaidia wakati serikali ikiendelea na hatua za uteuzi..Mpaka sasa tunahangaika kwani Mkoa wa Katavi haujafanya juhudi zozote za kuianzisha wilaya hiyo tangu serikali itangaze,tunajiuliza kwanini tunaendelea kuteseka kutafuta huduma wilaya ya mpanda iliyoko manispaa huku nauli ni shilingi elfu kumi na mbili mpaka kufika huko na muda mwingine unaambiwa uje kesho kuna vikao?
Mhe.Waziri Simbachawene na Katibu Mkuu tusaidieni kutoa kero hii kwani hakuna gharama kubwa kuanzisha ofisi hiyo,tunateseka na kuonewa sana,cheti cha kuzariwa ni elfu kumi,nauli kwenda na kurudi ni 24,000 bado utaambiwa uje kesho matokeo yake mpaka upate cheti au shida nyingine ni unakuta umetumia zaidi ya elfu 80 na bado kulala guest.
Naomba mliangalie kwa haraka jambo hili mtusaidie sababu mkuu wa mkoa wetu yuko kimya na hana habari licha ya kumweleza kupitia katibu wake mara nyingi
Watiifu kwa Serikali,
Wakazi wa Karema na Mishamo
Tunashukuru