Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Buha tunamwita gihugugu.
Huyu???
1454314395889.jpg
 
..............Napita tu...............
 
Kipanga ni aina ya ndege yupo kama bundi lakini yeye ni mdogo mbeya sehem ya mbarali ni wengi sana na huwa anakamata kuku sio mwewe ila huwa anakuwa na spidi sana kuliko ata mwewe ila hayo mambo ya ziwa tanganyika alio sema mtoa post ni kweli kabisa mimi nimewahi kaa kijiji kimoja kipo rukwa ni kata ya mwimbi ila kijiji kinaitwa mozi kipo mpakani na zambia na pana boda wale watu ni wavuvi haya mambo wanayajua anae bisha atakuwa hajatembelea haya mambo yapo kabisa
 
huenda na yeye alishakwenda kuzimu....maana waswahili husema msimulia mvua jua ilishaa mnyeeshea
 
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Aisee umenistua kidogo. Niliwahi pita kigoma nikasikiaga kuna sehemu kunaitwa kuzimu huko ukitaka kutajirika unapelekwa kwenye hilo ziwa na wenye mambo yao alafu unazamishwa utatoweka utakayokutana nayo huko utajua mwenyewe ukifanikiwa kuibuka basi kile ulichonuwia kukifuata huko utafanikiwa sana kama ulifuata uchawi basi utakua balaa na kama ulifuata utajiri aaah ni noma lakini posibility ya wewe kurudi kutoka huko ni ndogo sana. Sasa wewe nae umeleta hii habari mmh au muha wewe?
 
Miaka si mingi nyuma, ukiwa na kipara wewe ni dili Ziwa Tanganyika. Wenye kipara walipotea katika mazingira ya kutatanisha na miili yao ilipatikana ikiwa haina vichwa.
Maelezo zaidi basi
 
Mtoa mada nae pia atakuwa nimember wa kwenda huko kuzimu, coz anajua hata taratibu za jinsi ya kwenda.
 
Mshana,pamoja na elimu lkn ninavyo fahamu tz haina chuo cha kufundisha hiyo kitu labda kwa wenzetu ng'anbo
 
Mshana,pamoja na elimu lkn ninavyo fahamu tz haina chuo cha kufundisha hiyo kitu labda kwa wenzetu ng'anbo
Kuna njia mbalimbali za kujifunza nje ya taasisi rasmi za kielimu kumbuka hata shule kuna vitabu vya kiada na vitabu vya ziada
 
Ni sawa but kwa Nchi nambie ni kitabu gani kimeandika mbinu za kufuata ili uwe mchawi au uende kuzimu? Nitajie nami nijifunze.
 
Ni sawa but kwa Nchi nambie ni kitabu gani kimeandika mbinu za kufuata ili uwe mchawi au uende kuzimu? Nitajie nami nijifunze.
Siku hizi huhitaji hard copy unaenda Google unaandika topic yako unapata kila kitu
 
Back
Top Bottom