Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Imani ya kishirikina, huwezi kwenda kuzimu ukarudi salama
 
Duh. Liitwe ziwa la wachawi!!
Nikipata nafasi nitakujibu maswali yako yote matatu ila kwa kugusia tu Lukuga ni makazi ya majini na mizimu (kwa mujibu wa wenyeji)
Kwa wakazi wa Kigoma siku wakisikia Lukuga kavurugwa hutawaona wakigusa ziwa Tanganyika na hata wakigusa (kusafiri na uvuvj) basi huchukua tahadhali ya hali ya juu.
 
ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
Dah, huyu kiumbe alikuwa ananitesa sana nikiwa ndogo. Alikuwa anapita juuuuuu alafu analia. Mi nikimuona tu huyo ndogo na kusikia tu akilia naumwa. Sijajuaga hadi leo ilikuwa inatokana na nini?
 
Attachments

  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    14 KB · Views: 7
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
ndege uliyemtaja Kipanga Aziz au watu wa Mbeya wanamwita bututu. nauliza huyu ndege ndiye yule anatumiwa kama usafiri na wakubwa wa wachawi?

ndege anayetumiwa na wasafiri na wakubwa wa wachawi huku Dodoma tunamwita mkata sanda.
 
Mkuu wewe ni mchawi samahani lakini [emoji3][emoji3][emoji3]
hapana, nimesimuliwa na bibi kuhusu huyu ndege. bibi kama mhenga anajua vitu vingi, kasimuliwa mengi na kaona mengi.

ndege mkata sanda kama tunavyomwita huku Dodoma ndiyo huyo Kipanga Aziz?
 
Leo kuna nyuzi niliona kuna watu humu jf ni majini na mapepo , roho wa bwana ayaambia makanisa.
 
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana👇🏾

Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana👇🏾

Ulikua sahihi sana dada faiza.
 
Back
Top Bottom