Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Zambia kuna mji unaitwa mpulungu upo pembezoni na ziwa tanganyika. Aisee kuna uchawi huko balaa unaambiwa ukipishana na mtu usiku usimsalimie.
 
Copy goes to @mshanajr
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
 
Kuna jamaa walikua field kwenye visiwa vya ziwa tanganyika usafiri mkuu ni boti, asikwambie mtu lile ziwa linavituko vingi, kuna sehem mkifika hamna kisiwa wala nini ila mnasikia sauti za watu wanapiga mayowe ila wale waendesha boti ni wazoefu wanasafiri na kuku waliohai wakifika sehem zenye mawenge wanatupia kuku ziwani mambo yote yanatulia
 
Kipanga aziz ni ndege yupi huyu mkuu bujibuji?

Ali Kuba, Zitto, Diamond, Kaseja.... Wote ni watuhumiwa wa sayansi giza
 
Angekuwa mzungu anaenda chini ya ziwa mngesema huyu ni mtaalamu wa maji wazungu wanaenda anga za mbali mnawaita wanasayansi wa anga za mbali sayari zake
 
Habari kiongozi?, mzungu hafichi hata kama ni mchawi, uchawi wake anatumia kufanya maendeleo.. ebu niambie wanaenda ziwa tanganyika why wanaenda kwa kificho? Ni usafiri wagani usio na shaka nami niutumie nikajione majabu uko
 
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Umesahau. Kinyesi cha rais aliyepo madarakani wa USA.
 
Wachawi namnyafu😆😆 wanyakyusa na wandali nasikiaga wakiongea hili neno🤣
 
Nasoma habari za mto Lukuga hapa
 
Nikipata nafasi nitakujibu maswali yako yote matatu ila kwa kugusia tu Lukuga ni makazi ya majini na mizimu (kwa mujibu wa wenyeji)
Kwa wakazi wa Kigoma siku wakisikia Lukuga kavurugwa hutawaona wakigusa ziwa Tanganyika na hata wakigusa (kusafiri na uvuvj) basi huchukua tahadhali ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom