Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

mshana jr huyu bututu yeye ni mkubwa kuliko bundi yaan yeye anafanana na tai sema tai ni mkubw kidogo. Huyu ndege ana miguu mirefu na anarangi nyeusi na mdomo wake ni mrefu,mwekundu.

Na anaonekana mara chache sana tofauti na bundi
1454256264428.jpg
 
Ndo mana hatuendelei na mauaji ya vikongwe na zeruzeru hayaishi kwa ajili ya watu km nyie wenye kushindwa kuyaona yaonekanayo na kujifanya mnaujua ulimwengu wa kiroho. Mmekaa kuogofya wenzenu kwa kusingizia mnauwezo wa kuvunja nguvu za kuzimu. Hebu waseme wengine lkn hata wakristo ambao tunaamini Yesu alishuka kuzimu na kumchakaza shetan bado tunadanganyika. Hebu fungueni macho IWENI NA IMANI mwamini kwanza Kristo Yesu naye atakutendea na si kungoja eti akutendee ndo umwamini.... Mnanikera na mazingaombwe yenu basi tu....
Unabisha nini hata huko kwenye bible yako vituko vya uchawi vipo huyu anasimulia kilichopo mbona unajihami hautaki tujue dunia ilivyo ili tufanye maamuzi sahihi usizuie elimu na watu watambue kuwa kuna ulimwengu zaidi ya huu.
 
mshana jr huyu bututu yeye ni mkubwa kuliko bundi yaan yeye anafanana na tai sema tai ni mkubw kidogo. Huyu ndege ana miguu mirefu na anarangi nyeusi na mdomo wake ni mrefu,mwekundu.

Na anaonekana mara chache sana tofauti na bundi
Kwetu Kilimanjaro wana msimu wao wa kuja, akikaa mahali huwa wakati wa kuondoka hupiga kelele.
Wakati mwingine hulia kwa kupokezana
Yakiwa mengi sisi tunayaita maharang'a na likiwa limoja linaitwa iharang'a kwa lugha ya kichagga
 
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Mbali na migebuka umesahau kuhe au kuku wa ziwani
 
Migebuka, kuhe, sangara na singa. Sangara wa Ziwa Tanganyika hawana mafuya mengi. Ni watamu sana.
 
Na wewe uko kwenye ulimwengu Wa kiroho?
 
ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
Bujibuji weka picha yake Plizzzz
 
Back
Top Bottom