Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Kcha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.[/QUOTE]
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
kwa mujibu wa kitabu cha carlos Castaneda "The Art Of Dreaming" anasema kuwa binadamu amesaliwa katila vyumba99 lakini by default he is programed to detact only one room... other rooms needs special activation of certain kind of energy
 
Nipo hapa uje nikutembeze, toka kwetu mpaka karemi au moba congo ni masaa ma3 tu, ukuje mukubwa
Kwenu wap.maana njia rahisi yakwenda karemi utapitia Kirando au sibwesa au ikola ndo rahisi sasa kwenu wap alafu muachw kupotosha watu heti ziwa Tanganyika ni mlango wa kuzimu.
 
Haya mambo ya uchawi ni vitu vya kusimulia tu, lakini havina ukweli nisawa na mtu anaesema sisimizi wanakula cake wakati ukiwachunguza utaona wengine wanapeleka kwenye shimo na wengine wana rudisha.
 
Kwenu wap.maana njia rahisi yakwenda karemi utapitia Kirando au sibwesa au ikola ndo rahisi sasa kwenu wap alafu muachw kupotosha watu heti ziwa Tanganyika ni mlango wa kuzimu.
Kwetu utinta joo
 
Nipo hapa uje nikutembeze, toka kwetu mpaka karemi au moba congo ni masaa ma3 tu, ukuje mukubwa
We ,muha acha sifa,maana waha wanajifanya wakongomaniii
KAREMI ndio mji gani huo.
Tuulize sie wamanyema wa Asili,inaitwa Kalemi au unaiswagisha kifaransia KALEMIE
SIO KAREMI,alaaaa
Halafu sio mukulu papaa,ni papaa Mukulu
 
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Kuzimu ni wapi bcoz wale wanasayansi wanaoishi kwenye space wanaiona dunia kama tufe inayoelea wao kuzimu hawapaoni?
 
Badala ya MV Liemba ziwa Tanganyika kupitia Manispaa ya Kigoma/Ujiji inahitaji kitu cha namna hii hapa,Mambo ya uchawi na ushirikina umepitwa na wakati.
 
Attachments

  • Star_Gibraltar_Cruise-Critic_1600x400_v2_tcm13-51284.jpg
    Star_Gibraltar_Cruise-Critic_1600x400_v2_tcm13-51284.jpg
    72.9 KB · Views: 71
Wapi mshana jr .... mtaalamu wa haya makitu....

nashukuru wa taarifa ila hizo kucha za bundii kuzipata daaa shughulii.... Bujibuji
 
Kwetu Kilimanjaro wana msimu wao wa kuja, akikaa mahali huwa wakati wa kuondoka hupiga kelele.
Wakati mwingine hulia kwa kupokezana
Yakiwa mengi sisi tunayaita maharang'a na likiwa limoja linaitwa iharang'a kwa lugha ya kichagga
Waarusha wanaita Makurang'a,chakula chao kikubwa ni parachichi zilizokomaa lakini ambazo hazijaiva na wanakata kama mkasi.

Hawa huwa wanatambua na kutoa ishara kama mvua ipo au haipo,katika maisha yako jitahidi usimuue jike la ndege huyu.

However, huyo aliyeoneshwa kwenye picha hapo si kurang'a halisi.
 
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Vitabu vya Geography vinahitaji updates kama Ziwa tanganyika limekuwa mlango wa kwenda Kuzimu
 
KUHUSU KUANZISHWA KWA WILAYA YA TANGANYIKA

Mhe. Waziri tunakupongeza kwa kusaidia kuanzishwa kwa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, imekuwa msaada mkubwa sana hasa kwa sisi wakazi wa Karema,Kabungu na Mishamo ambapo umbali wa kupata huduma umepungua kutoka kilometa 160 kutafuta huduma wilayani.

Pamoja na tamko lako kwa vyombo vya habari,Mhe. tusaidie ofisi ya wilaya ya Tanganyika ianze,tuletewe watumishi na mkoa ili huduma zetu ziishie pale na anapobidi Mkuu wa Wilaya yule wa Mpanda atakuwa anatusaidia wakati serikali ikiendelea na hatua za uteuzi..Mpaka sasa tunahangaika kwani Mkoa wa Katavi haujafanya juhudi zozote za kuianzisha wilaya hiyo tangu serikali itangaze,tunajiuliza kwanini tunaendelea kuteseka kutafuta huduma wilaya ya mpanda iliyoko manispaa huku nauli ni shilingi elfu kumi na mbili mpaka kufika huko na muda mwingine unaambiwa uje kesho kuna vikao?
Mhe.Waziri Simbachawene na Katibu Mkuu tusaidieni kutoa kero hii kwani hakuna gharama kubwa kuanzisha ofisi hiyo,tunateseka na kuonewa sana,cheti cha kuzariwa ni elfu kumi,nauli kwenda na kurudi ni 24,000 bado utaambiwa uje kesho matokeo yake mpaka upate cheti au shida nyingine ni unakuta umetumia zaidi ya elfu 80 na bado kulala guest.

Naomba mliangalie kwa haraka jambo hili mtusaidie sababu mkuu wa mkoa wetu yuko kimya na hana habari licha ya kumweleza kupitia katibu wake mara nyingi

Watiifu kwa Serikali,
Wakazi wa Karema na Mishamo

Tunashukuru
 
Back
Top Bottom