habari kutoka vyombo mbalimbali za kitaifa na kimataifa ikiwapo CNN wamedaiwa kutumia repoti zao kuonyesha kuwa ziwa lote la Nyasa lipo Malawi.
my take. Hawa wasituzingue tuwe tayari kulinda mpaka wetu
Kwani tamko la Amiri Jeshi mkuu LOWASSA la kuivaa Malawi limeishia wapi tena?
wa monduliKwani tamko la Amiri Jeshi mkuu LOWASSA?
Ukiona halikutekelezwa ndo ujue yeye sio amiri jeshi mkuu........!
Hawa wanataka tupigane wapate mahali pa kuuzia silaha zao zilizowadodea
Tofauti ipo sanacnn.tbc.bbc.skynews. wanatofautiana nini?
nahc wewe ni mamluk. au wewe ni msupport ushoga
Zote ni sawa kwa mtizamo kuwa vyombo vyoote hivyo vinaeneza propaganda za FREEmasons au illumanatiTofauti ipo sana
*CNN ni taasisi binafsi na inawatumikia zaidi wamerekani.
*BBC ni taasisi ya umma Uingereza na iko kwa maslahi ya waingereza.
*SKY ni taasisi binafsi ya uingereza na inatetea zaidi uingereza.
*TBC ni kipeperushi cha magamba, inayomwaga Propaganda za CCM usiku na mchana tena za kichochezi na inachukiwa na watu wengi nchini Tanzania.
kwani tamko la amiri jeshi mkuu lowassa la kuivaa malawi limeishia wapi tena?
cnn.tbc.bbc.skynews. wanatofautiana nini?