ziwa nyasa wote upo Malawi

Serikali ya Malawi wawe na busara, ikiwa Tanzania itaamua kuzuia maji yatiririkayo kulijaza ziwa Nyasa na kusababisha kukauka kwa maji ina maana kuwa mpaka utasogea ikinufaisha Tanzania. Kwa kipindi hiki cha mabadiliko ya tabia nchi kuna uwezekano wa kupungua kina cha maji ziwani. Je hilo wanalielewa?
 
Banda hamna wa kumzuia tutamtia makalioni tu! Labda awakimbie wananchi wake
 
Back
Top Bottom