kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,495
Mgogoro wa mpaka wa Malawi na Tanzania bado unafukuta sana. Sasa hivi ziwa Nyasa linaitwa ziwa Malawi na limeisha anza kuingia kwenye Ramani mpya za Dunia. Hata ukiangalia kwenye google map mpaka unaonyeshwa unapita pembezoni mwa Songea maana yake hata maji tunayotumia watanzania toka ziwani ni ya Malawi.
Hii vita ya rasilimali lazima ije, sidhani kama JPM atakubali hawa jamaa watunyang'anye nchi yetu. Kadri rais wetu anavyojitahidi kuijenga nchi vizuri wapo wageni wanataka tuwe masikini ili wachukue rasilimali.
View attachment 411983 View attachment 411983
Upande wa msumbiji ligawanywe kati. Tanzania ligawanyiwa ukingoni, inakuingia akilini??. Wacha uoga Hanna atakaye kubali upatoshaji huo.