Ziwa Nyasa halipo tena Tanzania

Ziwa Nyasa halipo tena Tanzania

hivi huo mgogoro wewe umejua juzi? basi uko nyuma sana kwa taarifa muhimu kuhusu taifa lako. yani ulivyokurupuka utafikiri kuna jipya
Wew mshamba acha maneno yako ya kijinga
 
Screenshot_2016-10-04-12-41-38.png
Screenshot_2016-10-04-12-41-38.png
 
Ukweli kuna kitu kipya kwenye ramani juu ya mpaka katika ziwa nyasa, haikuwa hivo! Ukiingia utaona mpaka umehamishiwa kwetu!
Usalama wa taifa walifikishe hili kwa bosi
 
Hilo jina linatumika mda mrefu tu! Sema Tz hatuna utamaduni wa kujinadi... Itatucost sana tu.
 
Mgogoro wa mpaka wa Malawi na Tanzania bado unafukuta sana. Sasa hivi ziwa Nyasa linaitwa ziwa Malawi na limeisha anza kuingia kwenye Ramani mpya za Dunia. Hata ukiangalia kwenye google map mpaka unaonyeshwa unapita pembezoni mwa Songea maana yake hata maji tunayotumia watanzania toka ziwani ni ya Malawi.
Hii vita ya rasilimali lazima ije, sidhani kama JPM atakubali hawa jamaa watunyang'anye nchi yetu. Kadri rais wetu anavyojitahidi kuijenga nchi vizuri wapo wageni wanataka tuwe masikini ili wachukue rasilimali.
Mkuu, tangu zamani hilo ndo jina la hilo ziwa kwa upande wa Malawi, na kwa upande wa Msumbiji ni Lago Niasa, kwa hiyo siyo suala geni. Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Nyasa ndio maana kuna wilaya ya Nyasa, aidha, huo mgogoro upo tangu enzi za Marehemu Hasting Kamuzu Banda. Kwa kuwa Tanzania inafahamu kuwa mpaka ni katikakti ya ziwa, basi kule mpaka wa Malawi unakoanzia ndipo hapo jina la Mawawi kama ziwa linapoanzia, na kule mpaka wa Msumbiji unakoanzia linafahamika kama Lago Niasa
 
--::>>WAMALAWI WAJINGA SANA!.
--::>>INAMAANA ZIWA TANGANYIKA NI LA TANZANIA TU./
 
Ukweli kuna kitu kipya kwenye ramani juu ya mpaka katika ziwa nyasa, haikuwa hivo! Ukiingia utaona mpaka umehamishiwa kwetu!
Usalama wa taifa walifikishe hili kwa bosi
Mkuu, wewe waache wamalawi wanacheza tu, wanawezaje kupindisha mpaka kwa matakwa yao bila kukubaliana na upande wa pili au nchi zote husika, mbona hawapindishi upande wa Msumbiji.
 
Wenyewe Malawi wana mgogoro WA ndani,kwa watu kaskazini kwenye mpaka wetu wanataka kujitenga na kuunda Jamuhuri ya Lomwe
source; Malawi Nyasa Times
 
Hebu kumbuka vita ya Uganda, mgambo walienda vitani wanajeshi hawakutosha, vijana walijitolea kwenda vitani, hivyo ikitojea vita jiandae. Idd Amini alitumiwa kuharibu uchumi wetu mzuri, hivyo naamini spidi ya Magufuli wazungu hawaipendi, wamepata chanzo cha kutuharibia kwa kutumia mgogoro wa mpaka.
Mbona mgogoro huu ulikuwepo hata kabla ya Magufuli
 
Kumbe hujui google maps vizuri, ukiona dotted lines maana yake ni mpaka ambao bado upo kwenye makubaliano.
 
Back
Top Bottom