Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,044
- 10,493
Jamaa umemuumbua vizuri kweli,maana hili sio geni,amechelewa kwelikwanza nani kakwambia hatuna tena sehemu ya hilo ziwa Nyasa? umesoma habari hiyo kutoka chombo cha Malawi unategemea nini? halafu huo mgogoro sio mpya wewe ndio umechelewa kupata taarifa ulikuwa hujui kwa hiyo unaona kama taarifa ya jana. mgogoro upo, tena wa mda na hilo linajulikana kimataifa na ziwa tunalitumia kama kawaida, na hata mazoezi ya kijeshi tushafanya kwenye hilo ziwa. kwa hiyo usipotoshe kuwa eti tumepokonywa. Hizo ramani hata ukiingia google( achana na source ya Malawi) wanakuonesha kuwa mpaka una mgogoro
Sio mbaya na yeye ameweka record kwamba ameanzisha uzi wake,maana hauna jipya.
Ila awe makini,taarifa nyingine kama sio sahihi na zikiwa zinahusu maslahi ya Nchi ni hatari sana kwake.