Karne hii sidhani kama tunahitaji kusulisha kwa vita, busara tu itumike. Wakubali nusu kwa nusu, nchi zenyewe dunia ya tatu hizi tunatakiwa kuwa ndugu na sio kuanizhs ahasama. Wawe binadmaj yani ziwe lote liwe lao hata kunawa! Basi yasiguze ardhi yetuSina wasiswasi na jeshi letu pindi itakapofikia uamuzi wa kuidabisha kwa nia ya kurejesha mipaka yetu.
tena tunatakiwa tunashikilia hapohapo kwa nguvu zotehii inaitwa kugeuza kibao
Usiwe mwepesi mwepesi hivyo kukubali vitu, google kapewa na nani mamlaka hiyo ya ramani ya dunia na mipaka yake?Mgogoro wa mpaka wa Malawi na Tanzania bado unafukuta sana. Sasa hivi ziwa Nyasa linaitwa ziwa Malawi na limeisha anza kuingia kwenye Ramani mpya za Dunia. Hata ukiangalia kwenye google map mpaka unaonyeshwa unapita pembezoni mwa Songea maana yake hata maji tunayotumia watanzania toka ziwani ni ya Malawi.
Hii vita ya rasilimali lazima ije, sidhani kama JPM atakubali hawa jamaa watunyang'anye nchi yetu. Kadri rais wetu anavyojitahidi kuijenga nchi vizuri wapo wageni wanataka tuwe masikini ili wachukue rasilimali.
View attachment 411983 View attachment 411983
Mbaya na yenye kukera zaidi mipaka yetu uku afrika ni ile iliowekwa na wakoloni, na mpaka huu ni mmoja wapo, ivo kuna mawili jamaa wakienda kwenye ile mahakama ya kimataifa ya mipaka wana uwezo mkubwa wa kushinda kesi, au waamue kuachia kipande wasije wakachezea kichapo.Hii kesi niliifanyia utafiti na kusoma rundo la articles, kesi ni kwamba enzi za ukoloni mjerumani alimuachia ziwa lote muingereza aliekua anaishikilia malawi enzi izo kwa makubaliano, na baada ya mjerumani kupigwa na kuondoka tanganyika, muingereza akashika nchi zote mbili, kibaya zaidi akaendelea kutumia mipaka ile ile waliowekeana na mjerumani ambao ndo huu unao leta mgogoro, na zaidi muingereza akaweka makao makuu ya usimamizi wa ziwa zima chini ya uongozi uliokua malawi.
na kesi ya msumbiji mpaka kupita katikati, ni kwamba msumbiji wali trade in, visiwa viwili wachukue malawi kisha malawi iwape kipande hicho cha ziwa. Habari ndio hio.
wao wana ramani yao, na sisi tuna yetu.
Mgogoro wa mpaka wa Malawi na Tanzania bado unafukuta sana. Sasa hivi ziwa Nyasa linaitwa ziwa Malawi na limeisha anza kuingia kwenye Ramani mpya za Dunia. Hata ukiangalia kwenye google map mpaka unaonyeshwa unapita pembezoni mwa Songea maana yake hata maji tunayotumia watanzania toka ziwani ni ya Malawi.
Hii vita ya rasilimali lazima ije, sidhani kama JPM atakubali hawa jamaa watunyang'anye nchi yetu. Kadri rais wetu anavyojitahidi kuijenga nchi vizuri wapo wageni wanataka tuwe masikini ili wachukue rasilimali.
View attachment 411983 View attachment 411983
Mpaka kupita katikati ya maji kisheria io iko applicable kwenye maji ya bahari pekee na sio kwenye ziwa ambalo liko kati ya nchi na nchi tu, wakienda kwenye io mahakama kutakua na tabu kweliKuita ziwa Malawi sio shida, mbona sisi Ziwa Tanganyika tuna-share na DRC wakati linabeba jina la nchi yetu. Hawa jirani zetu wanajua kuwa mpaka wa nchi zinazotenganishwa na umbile la maji unatakiwa kuwa katikati, lkn wanafanya makusudi waone nini kitatokea.
isikutishe hiyo ramani ya hao google. ziwa mbona tunalitumia mkuu
Ndiyo lakini kupigana hakutasolve kitu. Samaki na maji yatabaki ziwani lakini binadamu watasambaratika na kufariki na kupoteza mali sababu ya vita. Angalia Syria, rais wao anakula kuku kwa mrija, viongozi wa wapinzani wapo Jordan wanalala vizuri nani wanateseka? malizia. Usiombe ndugu yangu hao viongozi hata waanze, wenyewe watakuwa white house au Kinondoni sisi tupo kwenye mahandaki ya L au kwenye magofu.Ninaongea kizalendo,baada ya Malawi kutuona tumeshindwa kulitumia ziwa Nyasa kuipatia nchi yetu utajiri,wameona bora na wao watupokonye,maana tumeshindwa kulitumia.
Hii inchi inakwenda wapi?
Ni nchi ya maombaomba,tumezidi kuombaomba.
Hata wasomi wetu tuliowasomesha wameshindwa kutumia ujuzi wao kuboresha rasilimali zetu,baadala yake wamekimbilia kwenye siasa.
Basi niambie ziwa Tanganyika linaitwaje kwa upande wa Congo na ziwa Victoria linaitwaje kwa upande wa Kenya na Uganda, sasa kwa nini ziwa Nyasa liitwe Nyasa kwa upande wetu na kwao Lake Malawi?Hilo jina linatumika mda mrefu tu! Sema Tz hatuna utamaduni wa kujinadi... Itatucost sana tu.
Vita sio mchezo, usiombee kabisa, usije kuiona Malawi ukadhani ndo unapigana naye, angalia Syria. Unadhani unapambana na waasi kumbe kuna Wamarekani na washirika wao, unadhani waasi wanapambana na Syria kumbe RussiaKibishi Force no. yako ngapi?? Kama huna nyamaza wanaokwenda kuuawa ni watoto wa wawengine. Hamjui vita ndo maana mnajitapa. We sikia Vifaru vinavyolia usiku kucha na watoto wa watu wanavyopita kimya saa nane za usiku kwenda front line. kesho yake unaona Red cross inapita na vitu nyuma. Temea mate pembeni. Mtu wa Kyaka, katoro, ibwera, kanazi, Muhutwe mwambie eti fyofyofyo hata wa huko Kitaya Mtwara hawawezi kukusikiliza.