Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,932
- 4,697
Haishi unafiki,ukiwa kijana ukawa mnafiki basi ukizeeka utakuwa mchawi!!!
.
Ni kweli akizeeka atakuwa A.L Mrema.
Haishi unafiki,ukiwa kijana ukawa mnafiki basi ukizeeka utakuwa mchawi!!!
Huyu ni msaliti mkubwa na wala asisamehewe aende huko CCM na ACT yao. Ukweli utabaki ni ukweli na mapambano ya watanzania kuupata uhuru wa kweli yako palepale. ZZK ni kijana mzuri kisiasa ila mdudu usaliti na uroho wa mali unamsumbua
Akafie mbali kule na ulaku wake wa madaraka..mvurugaji mkubwa huyo,mpenda sifa,mwerevu mfupi wa mawazo,,nenda ZITTO,,GO.
Zitto You are pathetic on this issue, kindly refrain yourself, Una Maana Gani wapambe ndio wamewachomganisha, kama wewe na Mbowe mmekuwa akili ndogo hadi vifaranga wanaweza kunmichonganisha, jee ikiwa hamuwezi kutofautisha uongo na ukweli jee mtaweza kuongoza nchi nzima, ambapo mtakuwa na mamilioni ya wapambe.
This is very cheap Politics from an astute politician like yourself, This is the time for you to come clean and expose the weakness and shortfalls of Mbowe, as the opposition needs clean, fair and Nationalistic Leaders, Weka wazi maoni yako kuhusu nia ya Mbowe kugombea Kiti chake kwa mara ya tatu tofauti na constitution ys Chama. Waelimishe wana Chadema ili wasimchague kiongozi batil, kama unao ushahidi kama huo, na kama una imani ya kuwa ana haki ya kugombea basi unapaswa kusema ukweli hapo....
Maneno yameanza kubadilika mlisema CDM haina ubavu wa kumtimua leo mmeanza ngonjera za kale Mungu yupo kila mtu atalipwa anachostahili.Punguza povu mdomoni utaweza kuongea vizuri vinginevyo utatumia nguvu nyingi kuongea neno moja.Chadema inatafunwa na dhambi ya ubaguzi
Zitto You are pathetic on this issue, kindly refrain yourself, Una Maana Gani wapambe ndio wamewachomganisha, kama wewe na Mbowe mmekuwa akili ndogo hadi vifaranga wanaweza kunmichonganisha, jee ikiwa hamuwezi kutofautisha uongo na ukweli jee mtaweza kuongoza nchi nzima, ambapo mtakuwa na mamilioni ya wapambe.
This is very cheap Politics from an astute politician like yourself, This is the time for you to come clean and expose the weakness and shortfalls of Mbowe, as the opposition needs clean, fair and Nationalistic Leaders, Weka wazi maoni yako kuhusu nia ya Mbowe kugombea Kiti chake kwa mara ya tatu tofauti na constitution ys Chama. Waelimishe wana Chadema ili wasimchague kiongozi batil, kama unao ushahidi kama huo, na kama una imani ya kuwa ana haki ya kugombea basi unapaswa kusema ukweli hapo....
Akili zako zimewekezwa na CCM kwa wawekezaji.
I kind of agree with you. Zitto amekuwa akimstahi sana Mbowe wakati mwenzake ametumia kila aina ya fursa kummaliza kisiasa. Angalau angeanza na hili dili la hela za Singasinga wa Escrow. Angeweka wazi kabisa jinsi Mbowe na cronies wake akina JJ walivyovuta mlungula ili watu wajue aina ya upinzani uliopo nchi yetu.
Zitto anajua kuwa tarehe 10 ndio ananyang'anywa rasmi kadi.
I kind of agree with you. Zitto amekuwa akimstahi sana Mbowe wakati mwenzake ametumia kila aina ya fursa kummaliza kisiasa. Angalau angeanza na hili dili la hela za Singasinga wa Escrow. Angeweka wazi kabisa jinsi Mbowe na cronies wake akina JJ walivyovuta mlungula ili watu wajue aina ya upinzani uliopo nchi yetu.
Zitto ni jembe mkatae au mkubali,Tatizo watu hawapendi kukubali kuwa Zitto ndio amechangia asilimia kubwa umaarufu wa CHADEMA walionao sasa.Subiri aondoke ndio mtajua nilikuwa namaanisha nini.
Si bado kesi yake iko mahakamani? Sidhani chama makini chenye wanasheria mahiri kama kinaweza kuidharau mahakama na kuendesha mambo kama Club ya Yanga.
Mkuu ifweero Zitto anaanza kuweweseka kwasababu wakubwa ndani ya chama wameipinga ACT project anajua mihela aliyokuwa anamwagiwa bado kidogo zitakauka.