Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Uzuri WA watanzania kuwa brain washed Ni kitu rahisi sana coz wengi wetu hatuna critical mind km hii ishu ya zitto c ajabu ukakuta mbowe alutafuta vijana 10 wakajisajili humu kwa Id tatu ratu then baada ya hpo wakaanza kusambaza uzushi khs zitto na wakapata wafuas ndani muda mfupi ,mi kwangu zitto atabaki kuwa kiongoz mzalendo kuliko niliopata kuwaona na kuwaskia
 
Tubu tu mr. Zitto. Kwani ukosefu ni sehemu ya ubinadamu na ni Mungu pekee asiye na makosa
 
We unaacha akili zako kwenye begi na kuanza kutumia akili ya mwigamba,mchange,nyakarungu,dotto chamchua!
halafu unaanza kulaumu wapambe?
 
Uzuri WA watanzania kuwa brain washed Ni kitu rahisi sana coz wengi wetu hatuna critical mind km hii ishu ya zitto c ajabu ukakuta mbowe alutafuta vijana 10 wakajisajili humu kwa Id tatu ratu then baada ya hpo wakaanza kusambaza uzushi khs zitto na wakapata wafuas ndani muda mfupi ,mi kwangu zitto atabaki kuwa kiongoz mzalendo kuliko niliopata kuwaona na kuwaskia

Ukengeufu wa kabwe ni wa tangu 2007, na si swala la mitandaoni tu. Kubali kuwa kabwe ana mapungufu
 
Dogo anakumbuka shuka kumekucha si alikuwa anamtukana mbowe inamaana amesahau
 
Zitto, ni kazi rahisi tu. Mbona Kafulila aliomba msamaha n kasamehewa na sasa anafanya vizuri tu kwenye chama chake? Maliza tofauti mkuu urudi kundini maana umepotea sana na sioni dalili yoyote ya kuinuka kwako
 
Angekuwa anatokea kaskazini wala asingefitinishwa

Kweli kabisa mkuu Ifweero,Chadema wanachuki na Kigoma walianza na Kaburu,Kafulila,Zitto na sasa wanamsulubu Ntagazwa.
 
hihihihi kwikwikwi mama yake kifaranga ni mnomaa .kashaanza kutamani chama kinavovutia
 
Binadamu tumekuwa wavivu sana katika kutaka kujua. Mistari miwili ya mleta mada haiwezi kuwa imetosha kuanza kujadili mada yake. Nilitarajia watu kutaka kutafuta nini hasa Zito amekizungumza katika gazeti hili ili tuwe na nafasi ya kutafakari amekusudia nini katika kuyasema haya. Kwa bahati mbaya na sisi tumekuwa miongoni mwa hao wapambe kwa kuendeleza ufitini unaozungumziwa.
 
Angekuwa anatokea kaskazini wala asingefitinishwa

ebu hata siku moja badilika, mbona mnapenda sana siasa za ubaguzi, wakati si misingi ya taifa letu, nilishawahi kusema hapa nyerere aliona mbali kutuunganisha kuwa wamoja bila kujali makabila na dini, sasa nyie mnaleta hivi mnajua madhara yake? hakuna vita mbaya kama ya ukabila na udini. mfano kenya na nigeria. tafakari.
 
Jamani kikubwa cha kujiuliza ni kwa nini Zitto atoe maneno haya Wiki hii na hasa Leo Jumatatu wiki inayoendea kwenye Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema??? Zingatia pia Alokuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora (ambaye anahisiwa kuwa ni sehemu ya genge la ZK amemuwekea Pingamizi Mbowe). Kubwa hapa ZK ameshuhudia chaguzi mbalimbali za chama zikienda bila kukwama kama ambavyo walitegemea iwe, sasa anajaribu kuingiza chuki na vurugu ili mikutano ilobaki ivurugike. Nawashauri Viongozi wa Chadema Makao makuu kuwa makini na chanzo chochote cha vurugu ili kulinda uchaguzi uishe salama.
 
Anamaanisha wapambe akina Mwigamba na Kitila Mkumbo au? maana hao ndo waliomwandikia waraka wa mapinduzi.. Majuto ni mjukuu siku zote.
 
Back
Top Bottom