Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto ni jembe mkatae au mkubali,Tatizo watu hawapendi kukubali kuwa Zitto ndio amechangia asilimia kubwa umaarufu wa CHADEMA walionao sasa.Subiri aondoke ndio mtajua nilikuwa namaanisha nini.

Weee nawe kama kisiki vile...aondoke mara ngapi sasa!!!### umaarufu wa chadema ni kiburi cha CCM kutoweka mpango mizuri kwa wananchi.
 
Anaona giza huko anakoelekea...anaangalia nyuma sasa!

Kiburi ni kitu kibaya sana; dogo aliona mafanikio ya kisiasa aliyoyapata ni juhudi binafsi akasahau bila CDM asingeyapata.

Anyway, anaweza jirudi akasamehewa akaendelea na siasa. Ni kijana smart ambaye CDM wanamhitaji sana, lakini aache usaliti.
 
Zitto akirudi chadema atakiteketeza chama. aende zake ACT huko akaone jinsi ilivyokuwa kazi kuimarisha chama cha siasa na kikasimama imara. Amechezea shilingi chooni sasa anatapata. VIVA CHADEMA
 
Anatafuta mazingira ya kuandaa usaliti wa 2015! Hasameheki huyu, atakuja kuharibu zaidi!
 
Asema ipo siku watamkumbuka, amekemea wapambe walimfitini na Mbowe pamoja na chama.

Asema wametoka mbali sana na chama, aliyasema haya jana DSM
attachment.php



Chama cha wachagga mwisho moshi
 
Asema ipo siku watamkumbuka, amekemea wapambe walimfitini na Mbowe pamoja na chama.

Asema wametoka mbali sana na chama, aliyasema haya jana DSM
attachment.php


Haloo nitakua wa mwisho kumsamehe huyu dogo alifanya usaliti katika kipindi muhimu sana cha ukombozi wa nchi hii thanx God CDM is more than a person and we have to maintain this spirit and solidarity we should all remember victory should be our limit Tanzania inaweza kutoka hapa ilipo, Dogo kama ni pesa kasha zipata arudi shule akafundishe UD kama alivyo wahi kusema.
 
Zitto sijui vipi! kama vile hakuandaliwa na chama!ana paswa kuomba usamaha basi,sasa yeye mara anasema vile mara hivi!ajue hajamkosea Mbowe bali amewakosea wanachama,so aombe radhi kwa wanachama,kisha sisi wanachama tutawaomba viongozi wetu na wajumbe wa kamati kuu kumsamehe basi.
 
Hasameheki huyo msaliti. Aende akaendeshe shamba lake la ACT

Huyu ni msaliti mkubwa na wala asisamehewe aende huko CCM na ACT yao. Ukweli utabaki ni ukweli na mapambano ya watanzania kuupata uhuru wa kweli yako palepale. ZZK ni kijana mzuri kisiasa ila mdudu usaliti na uroho wa mali unamsumbua
 
Zitto You are pathetic on this issue, kindly refrain yourself, Una Maana Gani wapambe ndio wamewachomganisha, kama wewe na Mbowe mmekuwa akili ndogo hadi vifaranga wanaweza kunmichonganisha, jee ikiwa hamuwezi kutofautisha uongo na ukweli jee mtaweza kuongoza nchi nzima, ambapo mtakuwa na mamilioni ya wapambe.

This is very cheap Politics from an astute politician like yourself, This is the time for you to come clean and expose the weakness and shortfalls of Mbowe, as the opposition needs clean, fair and Nationalistic Leaders, Weka wazi maoni yako kuhusu nia ya Mbowe kugombea Kiti chake kwa mara ya tatu tofauti na constitution ys Chama. Waelimishe wana Chadema ili wasimchague kiongozi batil, kama unao ushahidi kama huo, na kama una imani ya kuwa ana haki ya kugombea basi unapaswa kusema ukweli hapo....
 
ni uungwana pale mtu anapoomba msamaha asamehewe....umoja ni nguvu..karibu sana zzk
 
Na hizo fitina ndo zimesababisha mbowe kuukosa uenyekiti kupitia pingamizi too bad kupenda madaraka ni kubaya sana
 
Mkuu ifweero Zitto anaanza kuweweseka kwasababu wakubwa ndani ya chama wameipinga ACT project anajua mihela aliyokuwa anamwagiwa bado kidogo zitakauka.

Chadema inatafunwa na dhambi ya ubaguzi
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuh zzk unalo mwaka huu,,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akafie mbali kule na ulaku wake wa madaraka..mvurugaji mkubwa huyo,mpenda sifa,mwerevu mfupi wa mawazo,,nenda ZITTO,,GO.
 
Back
Top Bottom