mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Kwa hiyo Mwigamba na Kitila ndio wapambe waliomgombanisha na Mbowe sio? Lakini hebu tuwe makini hapa: Hivi Zitto ana ugomvi na Mbowe? Ugomvi wa nini? Mimi nachochua Zitto alivuliwa uanachama kwa kushriki katika waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Kitila na mwigamba. Nadhani tunapotoshwa hapa. Zitto ana ugomvi na chadema. Huu ugomvi na Mbowe mbona hatujawahi kuusikia?