Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
Zito ni jemedari wa siasa.
Mumuandae kisaikolojia kumpokea ktk chama chake cha ACT..
Zito ni jemedari wa siasa.
Mbowe mashine kubwa hiyo mbaruku ndio takataka gani hiyo? Peleka lumumba
Mumuandae kisaikolojia kumpokea ktk chama chake cha ACT..
sasa pamoja na masifa yote chadema wenyewe wamemtosa, ndio atashinda uchaguzi gani?
Huyu zzk ameshabaki historia tu , nawashangaa sana nyie mnaomfungulia threads kumfanya asikike humu. mnaudhi sana.
Zitto ni maarufu kupita chadema
habari ya mjini sasa hivi ni Kansas Mbaruku. Mbowe hapati kura hata moja
Hivi we ko.be.lo kazi unafanya kazi sangapi?
Where is he now...??? Hahahahaha.....Mbona anaomba poo.....Hahahaha.....Kwa taarifa yako Zitto ni takataka jalalani..
Kansas awaongeze wazazi wako
Sasa hivi tuko na Mbaruku Kansas, Mwenyekiti ajae wa Chadema,tunachochea kuni tu
Kwanini anaomba poo kwa Mbowe....
Tafadhali mumuandalie mapokezi ya shamrashamra huko ACT...
Hivi we ko.be.lo kazi unafanya kazi sangapi?
nina pesa ya kula mpaka na wajukuu. nifanye kazi ya nini?
Kansas ndio habari ya mujini
Pamoja na spining zako zote kwenye magazeti ya wahariri wasaka tonge lakini nikujuze tu kuwa kuanzia kesho 10-30/09/2014 ni siku ambazo historia ya Zitto Zuber Kabwe itafutwa rasmi ndani ya Chadema,
Ni siku ambazo lile joka lamdimu tulilokuwa tumelizimisha sasa tutaliua kabisa,
Ushauri wangu kwako muasisi na mkurugenzi wa kampuni ya upatu ya ACT ni kuwa jitahidi kutembea na kadi yetu kwani mda wowote tutaka uturudishie, ukigoma kutuletea tutaifuta hata ikiwa umeichimbia sanukuni kule Mwandiga.
Ni hayo tu mkuu, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki wa kweli.
Ishukuriwe mahakama kwakuhifadhi wahalifu wa kisiasa,
Hivi we ko.be.lo kazi unafanya kazi sangapi?
Where is he now...??? Hahahahaha.....Mbona anaomba poo.....Hahahaha.....Kwa taarifa yako Zitto ni takataka jalalani..
Labda atakuja kuwa mwenyekiti wa kikundi chenu cha upatu cha ACT
Mfukuzeni hata leo..