Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Kadi ya Chadema au tiketi ya kuingilia Club Billicanas?

Pamoja na spining
zako zote kwenye magazeti ya wahariri wasaka tonge lakini nikujuze tu
kuwa kuanzia kesho 10-30/09/2014 ni siku ambazo historia ya Zitto Zuber
Kabwe itafutwa rasmi ndani ya Chadema,

Ni siku ambazo lile joka lamdimu tulilokuwa tumelizimisha sasa tutaliua
kabisa,

Ushauri wangu kwako muasisi na mkurugenzi wa kampuni ya upatu ya ACT ni
kuwa jitahidi kutembea na kadi yetu kwani mda wowote tutaka uturudishie,
ukigoma kutuletea tutaifuta hata ikiwa umeichimbia sanukuni kule
Mwandiga.

Ni hayo tu mkuu, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki wa kweli.

Ishukuriwe mahakama kwakuhifadhi wahalifu wa kisiasa,
 
Mimi nasubiri mkiuke amri ya mahakama.[/QUOTE

Chadema hawatakiuka agizo la mahakama ila watafata taratibu. Kama ni faulo tayari zitto keshachezewa kwenye hizi chaguzi ya ndani ya chama. Ile nguvu aliyokuwa nayo kwenye wajumbe wa baraza kuu Mbowe na genge lake wameshaisambaratisha yote na wengne wameamua kujiuzulu baada ya kufanyiwa mazengwe.

Kilikochobaki ni kuitisha baraza kuu lenye sura mpya na zinazosema zidumu fikra za mwenyekiti. Kwan walioshinda wengi wao wamepewa sapoti kutoka makao makuu ili waje kufanya kazi mbili tu.1.Kumlinda mbowe kwenye kiti chake na 2.Kupitisha azimio la kumfukuza Zitto. Kwani kilichokua kikimpa hofu mfalme ni wajumbe wa baraza kuu na ndo wameshafagiwa kwa 80%. Hadi hapo wakua wametekereza amri ya mahakama kwa ushindi mnono.

Ndo siasa zetu zilivyo. Hivyo ukiona hao vifaranga wanafanya sherehe na mama zao ndo ujue mchezo umeisha kilichobaki ni kunajisi fuko la ruzuku bila maswali.
 
Hadhi yako ni kumpikia mbowe chai na kufafia ofisi, huna hadhi ya kuwa mjumbe baraza kuu..teh teh, kesho wakati wajumbe wanachagua viongoz wa bavicha utakuwa nje kwenye benchi usubir matokeo utuletee huku jf..

Kachukue ki buku saba chako usije kushindwa kukata gogo buree.
 
He..sijui nimekosea njia au naota?! yaani kama vile kichaa kanyakua nguo za jamaa anaeoga mtoni kakimbia na mwenye nguo anamfukuza wote nyeti ziko hadharani!! wapigeni picha mtuletee tuwajadili.
 
Back
Top Bottom